#KUVUA NUKSI/MKOSI.
#hakika kuna watu wengi wamekuwa wakiandamwa na nuksi/mkosi na kuoaga dawa za miti mingi na hata makombe nankufanyiwa mazingua mengi lakini bado hali ya nuksi/mkosi bado ni wenye kuwa andama katika kazi zao na maisha yao ya utafutaji kwa ujumla.
#si kwamba hawakupewa dawa halisi ya kutoa hizo +255717108210 nuksi/mkosi laaa hasha si hivyo.
Isipo kuwa nuksi zina matabaka.
A-#kuna nuksi ya upepo mbaya tu kukupitia :-hii huweza kuoga dawa tu na kuondoka mara koja hata kama upewe dawa isiyo kuwa na nguvu kubwa.
B-#Nuksi ya upepo wa jinni :-hii pia unapo pozwa tu na madawa ya kufukiza basi unapo toka upepo ule na nuksi yake huondoka pamoja.
C-#Nuksi ya kuiiumbwa kwa kuoga maji ya kubakishwa chooni :-hii pia huweza kutoka kwa kupigwa majosho matatu na nuksi kuondoka na kukaa sawa.
D-#Nuksi ya kuzini na mtu mwenye nuksi:-Mtu anapo jamiiana+255685566362 (kufanya mapenzi)na mtu mwenye nuksi basi mtu huweza kuambukizwa na kupata nuksi itakayo mfelisha katika shughuli zake za utafutaji wa biashara na maisha.
+255717108210
+255685566362
E-#NUKSI YA KAFARA NA KIAPO.
#:-Sasa hii ndio nuksi ambayo mtu anapo kuwa nayo ina kuwa ni nzito kutoka kama hukuijua na kupita katika miiko yake.
Kwani nuksi hizi ni miongoni mwa nuksi kali na ni mbaya sana kuwepo kwa mtu.
#Kwani nuksi hizi hutokana na mtu mwenyewe kuchukuliwa athali zake yaani kuchukuliwa(nguo yake ama kucha zake au nywele zake)na kufanyiwa mambo ya kichawi na mtu ndio hufungika nankuvurugikiwa maisha yake kabisa.
#Hivyo basi basi unatakiwa pia kupita katika miiko yake na taratibu zake ili kuweza kuivunja nuksi hiyo na mtu aweze kupata nusura.
#Nuksi hii ili uweze kuepukana nayo basi inakubidi upate baadhi ya vitu utakavyo fanyia dawa yake ambavyo ni kama ifuatavyo.
#Mgonjwa huyo mwenye nuksi ata vaa nguo zake kama kawaida vizuri kabisaa kama kawaida yake anavyo vaa kila siku lakini pale mahala ambapo anatakiwa kukaa kufanyiwa dua yake kuna takiwa kuwekwe vitu vifuatavyo.
#Taka za bahari za maji kutoka, ngata ya sokoni,jivu la jalalali,Yai viza moja,Nazi za kawaida tisa(9).mgonjwa atakalia hapo kwenye hivyo vitu kisha ndio atafanyiwa Dua/kisomo chake mbaka akimaliza basi vitu vyote vile hadi nguo alizo zivaa wakati wa dua ata zimwagia mafuta ya taa na atapeleka mahala husika.
#Basi baada ya muda ataanza kuona mabadiliko na mambo yake kufunguka na nuksi/mkosi ulio kuwa ukimsumbua kuondoka.
#Ustadh,
#MSOLO RAJABU YUSUFU.
#watts up +255717108210.
#Simu namba +255685566362
0 comments:
Post a Comment