#SIRI ZA NDOTO.
#Ndoto ni ishara ya ujumbe wa siri ambao mtu huupata kupitia usingizi.(njozi).
ndoto ni ujumbe ambao unatoa taarifa kwa mtu kuhusiana na mambo mengi yanayo muhusu mtu mwenyewe ama kwa watu wa familia yake unao julisha mambo kadha wakadha.
#Ndoto huweza kutoa taarifa kwa mtu juu ya tukio linalo taka kutokea baadae na hata kuku juza jambo ambalo lilifanyika kipitndi kilicho pita ambapo tukio lake lilifichika ama lilikuwa na utata ama usiri hivyo mtu huweza kupata taarifa zake kupitia ndoto/njozi.
Ndoto zime gawanyika katika sehemu mbili.
(a)#ndoto za kiroho(kutoka kwa mungu)
(b)#ndoto za kijinni.
A-#Ndoto za kiroho.
hizi mi ndoto ambazo huwa ni taarifa moja kwa moja mungu humfunulia mja wake juu ya jambo ambali halija tokea na uotaji wa njozi hizi hua mtu huota njozi na tukio litakavyo kuja kutokea huwa ni vile vile alivyo ota hata kama tukio litakuja kutokea baada ya kiaka kadhaa.
B-#Ndoto za kijinni.
hizi ni njozi ambazo mtu anaota lakini taarifa ya jambo lenyewe huwa linaweza kuwa ni kinyume chake ama linaweza kuwa ni jambo lilelile lakini kwa mtu tofauti.
#mfano mtu anaota anafiwa na mwanae lakini hafi mtoto wake wa kumzaa isipo kuwa atakufa wa jirani yake.
ama anaota kufariki wa jirani yake anaoifa wa kwake.
#Katika swala zima la kujua siri za maana za ndoto huwa kunazingatiwa vitu vifuatavyo.
1-muotaji alikiwa katika mazingira gani?.
2-ameota kitu gani?.
3-katika hiyo ndoto amekiona kitu gani?.
4-kitu hicho kilikuwa katika sehemu gani mazingira gani naboipikuwa kina fanya nini?.
5-Ndoto imeotwa majira gani/saa ngapi?.
+255685566362
+255717108210
#kwa kuzipata taarifa hizo zote happ itaweza kujulikana maana na siri halisi ya ndoto/njozi hiyo.
#zifuatazo ni aina ya njozi/ndoto na tafsiri/maana zake.
1-#mtu alie maliza shule kuota yupo shule anafanya mtihani na ana feli.
-:#hii ina maamisha mtu huyo atapata dhiki katika kipindi kinacho kija mbele yake na tabu huyo haisababishwai nankurogwa na mtu ni. mtihani tu kutoka kwa mungu.
#Dua yake kubwa anatakiwa mtu afanye isighfar nyingi (yaani afanye uradi wa kusema #Astagh-firu llah) kwa wingi sana.
2-mtu kuota ana kimbizwa na watu asio wajua wakiwa na vitu vyenye ncha kali.
:-mtu huyu ni ishara ya kufanyiwa uwadui wa iukusudiwa na watu.
#Dua yake asome sana suuratil falaqi ama suuratil tawba.
3-#mtu kuota analia usingizini bila ya sababu.
:-Ni ishara ya mtu kusibiwa majinni ya kukumba sehemu za maji ama katika sehemu za miti mikubwa wamemkumba bahati mbaya.
#Dua yake asome suuratil haashir na suuratil Rrahman.
4-#Kuota unakula nyama mara kwa mara.
:-Ni ishara ya mtu kwamba anafatwa na washirikina na wanga
wanga hao wananguvu na wanaweza kumtoa na kumchezea mda wowote mahala popote ni mtu ambae wanahitaji kumuingiza uchawini.
#Dua yake asome suurat raadi na suurat yaasin.
5-#Kuota unasombwa na maji ama lutumbikia ndani ya maji.
:-ni ishara ya kuharibikiwa mambo ya kimaisha na mipango ya kimaendeleo. sababu yake huwa ni mtu kutawaliwa na majinni wachafu mwilini mwake ndio wanao mtia nuksi na kiharibu harakati zake.
#Dua yale asome sura hizi suurat dhaariyati,suurat almutwafifiyna.suurat alburuuji,suurati twaarik,suurat shamsi,tiyni,suurat waal aswir.
6-#kuota kufunga ndoa kwa mtu ambaye hayupo katika kipindi cha kukaribia kifunga ndoa mara kwa mara.
:-Ishara ya mtu kuandamwa nanmajinni mahaba ambao wamesha jidhatiti vya kutoshakwa mtu huyo.
#Dua yake asomewe suurat yaasin a suuratil jinni.
7-#kuota unaokota pesa za coin basi ni ishara ya kufarijika katika kipindi kifupi na kupata taarifa nyingi za bahati.
8-#Kuota unasafisha kinyesi(mavi)
:-Ni ishara ya kupata fedha kwa njia usio itarajia na kupata faraja kwa mtu usie mtegemea ulie kuwa hujuani nae.
#Dua yake soma suuratil waagiya.
+255685566362
+255717108210
9-#mwana ume kuota anachezea uchi wa mwanamke alie kuwa mkubwa sio mara kwa mara.
:-ni ishara ya kupata faraja na fedha na kupata mali ambayo itakuwa ina athari ya kudumu.
#Dua yake asome suurat nash-raha.
10-#mwanaume kumuingilia kinyume na maumbile mwanaume mwenzie.
:-ni ishara ya kupatwa nanmajonzi makubwa na masikitiko pamoja na kupoteza mali kiasi kikubwa.
#Dua yake asome sana LAAILAAHA ILLA LLAHU.
11-#Kuota mtu alie kufa amekufa watu wanafanya maamdalizi ya kumzika ilhali alisha kufaga mda mrefu.
:-Ni ishara ya kupata faraja na kufungua biashara mpya na kupata kazi nyingine pia kupata mawazo mazuri kutoka kwa mtu mwingine.
#Dua yake asome sana jina la mungu YAA RAZZAQU.
12-#KUOTA mtu ana chapwa na bakora na marehemu lakini haimuumi anampiga kama kwa utani ama anapita mbali na yeye na anamuita haitiki.
:-Ni ishara ya mtu kutaka kuharibikiwa mambo lakini atapata msukosuko katika jambo fulani kisha atafanikiwa kwa ugumu na tabu.
#Dua yake atoe sadaka ya chakula na kusoma suuratil IKH-LASWI.
#Si busara kupenda kuhadithia ndoto zako kwa kila mtu kwani kuna watu wakizijua ndoto zako huweza kukufanyia hasada kama kuna neema ulitakiwa kuipata wakaanza kukufanyia shirki na vitimbwi ilimradi neema hiyo iharibike.
hadithia kwa watu maalumu tu na majibu yako kubakinayo mwenyewe moyoni ili kuepuka hasadi na vijicho vya mahasidi.
#hivyo ni vyema ukajua mapema ndoto yako inakuashiria ishara gani kwa kwa kujua jambo mapema huwa kujianda kiakili jinsi ya kukabiliana nalo jambo hilo.
+255685566362
watts up.
+255717108210
msolo rajabu yusufu.
0 comments:
Post a Comment