#UBANI NI NINI?.
Ubani ni mafusho ya asili yanayo tokana na mimea ambayo hutokana na magome ya miti utomvu na mwingine ni mizizi kabisaa ya miti yenyewe.
#Ubani na udi ni vitu viwili vinavyo endana sambamba kiasi kimatumizi lakini ni vitu tofauti kwani udi si kitu natural/asilia ni kitu kinacho tengeneza kwa kuchanganywa kwa mchanganyiko wa vitu vingi ikiwemo maua manukato na baadhi ya ubani mbaka kuja kutokea udi.
#Tunapo zungumzia ubani ifahamike kuwa kuna aina zaidi ya 100 za ubani ingawaje wengi tumezoea chache miongoni mwa hizo kutokana na mazingira yetu na kazi tunazo zifanyia kulingana na mambo husika.
+255621193048
+255717108210
#Ubani ni mafusho ambayo yana umuhimu na uhitajikaji Mkubwa kwa mwanaadamu katika matumiza ya shughuli zake za kila siku na kwa mambo yake mbali mbali anayo taraji kuyafanya.
#Ubani hizi zote kwa kiasi kikubwa ni dawa kwa maradhi mbali mbali katika miili yetu wanaadamu miongoni mwa ubani ambazi ni dawa muhimu ni kama vile.
1-#ubani kachiri.
2-#ubani qustwi/kastwi kwa mazoea. Ubani huu hufanya kazi ya kusafisha mishipa ya mwili na koo
3-#ubani manimani,ubani hii huimarisha afya ya mifupa pamoja na kusaidia mmeng'enyo wa chakula tumboni.
4-#ubani saudani.
5-#ubani murru, huleta hamu ya kula na kunyonya kwa mtoto mdogo.
6-#ubani mweupe, ubani huu husafisha njia ya mkojo sambamba na kupunguza sumu katika figo na kupunguza sukari.
7-#muuniani, ubani huu pia husaidia sana kwa mtu ambaye mifupa yake ina bunguka ,kuupa mwili nguvu.pia kwa wanaume husaidia kuimarisha katika nguvu za MZEE fulia hivi nadhani kwa watu wazima wamenielewa.
+255717108210
+255621193048
Mbali na hapo tukija kwa upande mwingine hubani hutilumika na kuweza kufanya kazi kama vile kuvuta bahati na kufukuza upepo mbaya kwa watoto na majini wabaya.
#Mfano :
A-#ubani makkha hutumika kuvuta kheri kwa mtu kujifusha ama kuufatuna kwa manuwizi maalumu kisha kuongea na mkusudiwa.
B-#Ubani makkha pia ukichanganywa na maua ya waridi unga wa kungu manga na tufaahul jinni na maua ya waridi na karafuu maiti kidogo ukivichanganya vizuri hutumika katika kuondoa nuksi na kuvuta kheri kwa kuoga mchanganyiko huo.
C-#Ubani makkha pia kwa MTU ambaye anamajjini yake mwenyewe anayajuana nayo tayari nabikatokea siku anavurugika kichwa kiasi kwamba hajui nini cha kufanya nabkupanda hawataki Aisha mwenyewe wanagombana huko kichwani nabwanakuletea vurugu ama kwa mwingine mpya kuingia na haja Julikana bado.
Basis ili kutuliza kadhiya hiyo utachukuwa sharobati na kuitia kwenye glass kidogo pamoja na maji ya maradhi kidogo utatia humo ubani makkha nakuiacha ilowane na kutulia kwa mda kisha utakunywa na kujipaka kichwani Haifa chukua mda kichwa hicho kitatulia.
3-#Ubani mushtaka ,ubani huu hufukuza maluweluwe kwa mtoto anae situka usiku na kupiga makelele unapo ufunga kwenye kitambaa pamoja na mzizi wa mtu wa mtula.
4-#ubani miyatu saaila,ubani huu unapo changanywa na haltiti na majini ya vitunguu thaumu na vitunguu maji na karafuu maiti hufukuza upepo wa majini wabaya kwa kujifusha.
+255743474714
+255717108210
5-#Kuita Makhaadim, ubani unauwezo wa kuutumia katika swala zima LA kuitia majinni ambayo huweza mtu kuyatumia kwa jinsi vile anavyo taka kotokana na jinsi walivyo kubariana katika shughuli hiyo ya kuita maruhani/makhaadim ambao si majinni Yale ya kukaa kichwani mwa wanaadamu.
Bali hawa ni majinni wasio kaa kichwani kwa mtu ni majini wenye uwezo Mkubwa mno zaidi ya majinni wote wanao kaa katika kichwa vya wanaadamu.
Kuna michanganyiko mingi sana ya ubani ambazo huwa yanaweza kufanya kazi ya kuitia makhaadim.
#Mchungulu kwima#
1-#Kwamwenye kutaka kuita kwhadimu awenae basi atatumia ubani #jawi alamaarufu hujulikana ubani uvumba ubani huu unanguvu upo wa sina mbili.
1-#upo uvumba mweupe.
2-#uvumba mweusi.
1-A #uvumba mweupe una Fanya kazi sana ya kufukuza na kuwakera majini wachafu pia huingia katika mchanganyo wa DAWA za kula kwa ajili ya kuiboresha DAWA ya kupambana na sihri.
2-B #uvumba mweusi uvumba huu ndio unanguvu ya kuita maruhani wa mbali (makhaadim) endapo MTU atataka kumtafuta khadimu basi atafanya kuuchoma ubani huo kwa mfululizo wa wiki 41 kila siku ya ijumaa SAA nane mchana na jumaatatu asubuhi SAA moja kasoro asubuhi ama alhamisi baada ya kuzama jua.
+255717108210
+255621193048
Atachoma kwa manuizo maalumu kwa wiki zote hizo Nina hua ni moja na mda ni muhimu kuzingatiwa pia kwani unapo anza tu kuchoma husogea taratibu na kukuangalia kila siku.
hukupima je ni kweli unamwita ama unajaribu tu unapo kuwa kweli kila kipingi chako maalumu unakifanya kitenda chako hicho basi hujiridhisha na kujitokeza kwako taratibu na mbaka kujibainisha kabisa na kuanza kuongea.
Kwa maswali na ushauri
+255717108210
+255685566362
0 comments:
Post a Comment