Tuesday, July 11, 2023

KUGEUZA UCHAWI NA UADUI.

KUPINDUA ZOHALI/KUGEUZA  HALI.(UCHAWI)

#Kwa mtu ambae amekumbwa na zohali ama amefanyiwa uwadui ama zohali ambao ukapelekea kuharibu ama kugeuza aidha iwe hali ya kiuchumi ama nyota yako basi mtu huyo anaweza kujisaidia na kujikwamua kwa kupitia utaratibu huu.

Uta takiwa kwanza kutafuta na kuijua nyota yako na siku inayo tawala nyota hiyo kisha uta ihesabu kutoka nyota yako hadi nyota ya kumi na moja yako ukisha ipata na kuijua sasa utaifanya kazi yako siku ya nyota yako kwa saa ambayo inatawala ile nyota ya kumi na moja yako muda huo uta takiwa kuwa na vitu vifuatavyo.

Chukua nazi ishirini na moja (21) uta zipange nazi zako kwenye mswala wako wa kufanyia dua yako kwa kukuzunguuka kila sehemu uta panga nazi tatu tatu kila upande zina kuzunguuka wewe ukiwa kati kati hapo kati utakapo kaa uta mwagia majivu na kuyasambaza sehemu ya kukalia wakati huo utakuwa umevaa nguo zako safi lakini nguo hizo utatakiwa uwe umezigeuza kama vile mtu anae taka kuswali swala kwa ajiki ya kuomba vua wakati wa ukame.
+255717108210

Pia nibora zaidi nguo hizo zikiwa ni nguo ulizo zivaa mda mrefu yaani una mda nazo wa miaka mingi.

Kila nazi moja utaisomea suurat yaasinياسن mara tatu(3) na ukimaliza tu kusoma sura mara tatu unaenda kuivunja kwenye jiwe mbaka zote zitakapo kwisha .
+255685566362

Baada ya kumalizakabisa utachukua ndoo ya maji masafi kisha utatia ndani yake maji saba tofauti utachanganya ndani yake na sukari nyeupe pamoja na chumvi nyeupe ya unga.
Utakoroga vizuri na huku unasomea kwenye maji hayo suuratil hajji(سورة الحج) mara moja na suuratil nnuur(سورة نور) mara tatu utaenda kuyatumia maji hayo kuyaoga muda wa wiki moja mahali pasipo kuwa chooni ama weka katika chupa ya maji masafi uwe unajipaka ndani kila unapo tuka kuiga asubuhi na usiku kwa muda wa wiki moja.
Kwa kufanya hivyo majibu utayapata na matokeo yake mazuri utayaona inshaa allah.

Kwa maswala yoote ya tiba na visomo mbali mbali wasiliana na USTADH.

#MSOLO RAJABU YUSUFU.

+255685566362

Wattsup

 +255717108210.


MARADHI KUHAMA HAMA MWILINI

#MARADHI YA KUHAMA HAMA MWILINI.

#Hakika mwili wa mwanaadamu umejawa na maradhi mengi ya kila namna na kawaida ya vyanzo vya  maradhi katika miili ya binaadamu ni vitu vinne ambavyo ni.

1-#mazingira mabaya(uchafu).

2-#ulaji mbaya wa chakula.

3-# Aleg ya baadhi ya vyakula na vitu fulani.

4-# Kurithi.

+255717108210

+255685566362

Ama kwa maradhi mengi yenye kusababishwa na  sababu hizo huwa ni maradhi ya kibaiologia ambayo huweza kugundulika kupitia vipimo vya hospital (sayansi) na huweza kutibika hospital.

#lakini kwa maradhi ya ndani ya mwili wa binaadamu ambayo huwa na tabia ya kuhama hama yaani kuuma mara kiungo hiki mala kile mala kina bana hapa muda kina achia na kubanakule na ukienda karika vipimo vya kihospitali hauonekani ugonjwa basi tambua wazi haya ni maradhi yanayo sababishwa na mambo mawili.

1-#uchawi ulio ingia mwilini.

2-#Ni jinni anae sababisha maradhi hayo.
+255685566362
1-#Ikiwa ni sababu ya kichawi basi wakati maradhi yanashika kasi huambatana na dalili hizi.

A-#hushika sana nyakati za usiku.

B-#mwili hushika sana baridi.

C-#mwili kukakamaa baadhi ya viungo.
+255717108210
D-#mgonjwa kukaukiwa maji na kupatwa na kiu kikali.

E-#mgonjwa huisi makelele masikiini mwake.

F-#Kupata ndoto nyingi usiku za kula nyama.

G-#Ndoto nyingi za kuwa na watu asio wajua ama kuwajua lakini haswa asio kuwa na maziea nao.

H-#kupato ndoto nyingi zakuwa anacheza ngoma kama za kiasili pasi na kujua zanahusu tukio gani.

I-#Ndoto nyingi za kung'atwa na mbwa mweusi ama kugongwa na nyoka mweusi.
+255685566362
J-#huisi kama wadudu wadogo wadogo sana wana mtamba ndani ya ngozi.

K-#kuisi kitu cha baridi maka nyoka ama jongoo ana mgusa na mda mwingine hata kuweza kuona mwenendo ama umbile wa kitu hicho juu ya mwili kama vile mama mjamzito wa miezi saba(7) hadi tisa (9)anavyo ona mapigo ya mtoto ama mahali alipo egamia.
+255717108210
2-#Kwa mwenye kuwa maradhi ya kuhama hama ambae husababishwa na jinni nae atatambua kwa maradhi yake pindi yanapo taka kumshika huambatana na dalili zifuatazo.

A-#mwili hupata joto kali.

B-#kuisi kama kutaka kujiwa na presha ya kupanda.

C-#kuisi mwili kuisha nguvu na kuchoka sana kupita kiasi.

D-#kupata ndoto nyingi za kugombana na watu bila kujua sababu.

E-#kupata ndoto nyingi za kufukuzwa na simba.

F-#ndoto nyungi za kukimbizwa na mbwa mwekundu.
+255685566362

G-#Ndoto za  kukimbizwa na nyoka aina ya chatu.

H-#Ndoto nyingi za kuanguka kutoka juu ya mti mrefu na kupiga kelele kwa nguvu mno.
+255717108210
+255685566362
#A-tiba ya mwenye kuhama maradhi kwa sababu ya sihiri/uchawi atatakiwa kuchukua dawa hizi.

1-kamun aswadi.
2-kamun abyadh.
3-uwatu.
4-dalfilfil.
5-shubiri kidogo sana.
6-sukari mawe kidogo sana. 7-zaatari. 
8-habbat saudaa.

changanyo zote pamoja twanga upate ungwa kisha changanya na asali  mbaka ichanganganyike kabisaa mgonjwa ame anakunywa ujazo wa vijiko viwili vya chakula kwa siku mara tatu.

2-#kwa mwenye kuwa na sababu ya kijinni ama masheytwani.
Huyu kwanza maomee kisomo cha ruqya na kisomo cha kuangamiza majinni ya kisheytwani.
Na dawa anayo takiwa kutumia ni.

1-#mwangajinni.

2-#mkunazi.
3-#mjafari.
4-#dalfilfil.
5-#Iliki ya unga.
6-#uwatu.
7-#habbat soda.
dawa zote hizo changanya vizuri utwange uchunge unga mgonjwa awe anatumia kunywa katika uji wa dona kijiko kimoja cha chakuka kwa kikombe kimoja cha uji. Kwa siku mara mbili.

#Ustadh.
Msolo rajabu yusufu.

+255717108210

+255685566362.




Saturday, January 28, 2023

#MGOLO/BAWASILI.

             #BAWASILI/MGORO.

#Tunapo zungumzia  bawasili/mgoro hili ni tatizo ama ni janga balo lina wakumbwa watu wengi mno na janga hili si la jinsia moja bali huwapata watu wa jinsia zote mbili yaani wana wake na wanaume pia.

#Watu wengi wamekuwa wakihangaika sana  kwa kutatua tatizo hili na wengine hufikia hata hatua ya kufanyiwa upasuaji mdogo lakini baada ya muda tatizo hurejea tena pale pale.
0717108210
  #AINA ZA BAWASILI/MGORO.

A-#Bawasili zipo za aina mbili kuna bawasili ya ndani na bawasili ya nje.

A-#Bawasili/mgoro. yandani ni ile ambayo hutokea ndani kidogo ya ya njia ya haja kubwa ambayo hua haina maumivu makali sana kwani pia tunaweza kusema kama ni bawasili ambayo ni changa haija komaa .

B-#Bawasili/Mgoro ya nje hii ni aina ya bawasili ambayo tayari inajidhihirisha kwa mtu moja kwa moja kwa kudhihiri vinyama katika njia ya haja kubwa kwa kuiziba njia ya haja na kuina kuvimba kama vijipu ama malengelenge katika njia hiyo ya haja kubwa ama kutoka nje kabisaa vinyaka kuwa vina ning'iniya nje ya njia ya haja kubwa.
0685566362
#Hii tuma weza kusema ni bawasili ilio komaa kwani huwa na maumivu makali sana hata kusababulisha haja kutoweza kutoka kabisaa ndipo hupelekea hospitalini kulazisha kumfanyia mtu upasuaji mdogo.

 #JE? NINI HUSABABISHA BAWASILI/MGORO?.

#BAWASILI:-Huweza kumpata mtu wa jinsia yoyote endapo ata jijengea kuwa na tabia hizi zifuatazo.

A-#kupenda kunyanyua vitu vizoto kupita kiasi chake pamoja na ufanyaji wa kazi ngumu mda mrefu.

B-#Vyakula vikavu na vya special vya kusindika mda mrefu.

0717108210

C-#Kujikamua kwa mda mrefu kila anapo kwenda haja kubwa.

D-#Kuka kitako/chini kwa muda mrefu sana kama vile madereva wa masafa marefu na wasusi wa nywele na nguo(mafundi vyarahani).

E-#Kulawitiwa ama bawasiri pia huwapata watu ambao wanapenda kufanya mapenzi kinyume na maumbile alio yahalalisha mungu (KUFILWA).

F-#Unywaji mdogo wa maji kila mtu mwili wake una wastani wa kiwango chake cha maji kinacho hitajika kulingana na uzito wa mwiliwake sasa unapokuwa una unyima zaidi kiwango cha maji kwa muda mrefu hupelekea mwili kuipoza damu vizuri na mwishoe huanda kuganda katika baadhi ya seheme katika mwili na kuleta madhara.

G-#Kikohozi cha mda mrefu.
Mtu kuwa nantatizo la kukohoa kwa mda mrefu.
H-#uzee mtu anapokuwa mzee huwa ni rahisi sana kupata janga hili la mgoro.

I-#Kurithi.
Kuna wwngine hupata tatizo hili kutokaa na kurithi ugonjwa kutoka kwa wazazi wao.

J-#kupenda kujizuia kwenda haja pale inapotaka kutoka mtu akawa anapenda kuizuia makusudi na kujipandia yeye mwenyewe mda maalum.

#Je? Nini kifanyike ili kuepukana ama kutokomeza tatizo hili la bawasiri/mgoro ili kuwa salama kabisa??
0685566362



Hakuna njia nyungine bali tu kupata tiba na kuacha vyanzo vyote hatarishi ambayo hupelekea mtu kupata tatizo hili la bawasiri/mgoro.

Kwa matibabu ya mgoro na maradhi mengine sugu na kuatua kadhia mbali mbali.

Mawasiliano ni  

       +255685566362