Tuesday, July 11, 2023

MARADHI KUHAMA HAMA MWILINI

#MARADHI YA KUHAMA HAMA MWILINI.

#Hakika mwili wa mwanaadamu umejawa na maradhi mengi ya kila namna na kawaida ya vyanzo vya  maradhi katika miili ya binaadamu ni vitu vinne ambavyo ni.

1-#mazingira mabaya(uchafu).

2-#ulaji mbaya wa chakula.

3-# Aleg ya baadhi ya vyakula na vitu fulani.

4-# Kurithi.

+255717108210

+255685566362

Ama kwa maradhi mengi yenye kusababishwa na  sababu hizo huwa ni maradhi ya kibaiologia ambayo huweza kugundulika kupitia vipimo vya hospital (sayansi) na huweza kutibika hospital.

#lakini kwa maradhi ya ndani ya mwili wa binaadamu ambayo huwa na tabia ya kuhama hama yaani kuuma mara kiungo hiki mala kile mala kina bana hapa muda kina achia na kubanakule na ukienda karika vipimo vya kihospitali hauonekani ugonjwa basi tambua wazi haya ni maradhi yanayo sababishwa na mambo mawili.

1-#uchawi ulio ingia mwilini.

2-#Ni jinni anae sababisha maradhi hayo.
+255685566362
1-#Ikiwa ni sababu ya kichawi basi wakati maradhi yanashika kasi huambatana na dalili hizi.

A-#hushika sana nyakati za usiku.

B-#mwili hushika sana baridi.

C-#mwili kukakamaa baadhi ya viungo.
+255717108210
D-#mgonjwa kukaukiwa maji na kupatwa na kiu kikali.

E-#mgonjwa huisi makelele masikiini mwake.

F-#Kupata ndoto nyingi usiku za kula nyama.

G-#Ndoto nyingi za kuwa na watu asio wajua ama kuwajua lakini haswa asio kuwa na maziea nao.

H-#kupato ndoto nyingi zakuwa anacheza ngoma kama za kiasili pasi na kujua zanahusu tukio gani.

I-#Ndoto nyingi za kung'atwa na mbwa mweusi ama kugongwa na nyoka mweusi.
+255685566362
J-#huisi kama wadudu wadogo wadogo sana wana mtamba ndani ya ngozi.

K-#kuisi kitu cha baridi maka nyoka ama jongoo ana mgusa na mda mwingine hata kuweza kuona mwenendo ama umbile wa kitu hicho juu ya mwili kama vile mama mjamzito wa miezi saba(7) hadi tisa (9)anavyo ona mapigo ya mtoto ama mahali alipo egamia.
+255717108210
2-#Kwa mwenye kuwa maradhi ya kuhama hama ambae husababishwa na jinni nae atatambua kwa maradhi yake pindi yanapo taka kumshika huambatana na dalili zifuatazo.

A-#mwili hupata joto kali.

B-#kuisi kama kutaka kujiwa na presha ya kupanda.

C-#kuisi mwili kuisha nguvu na kuchoka sana kupita kiasi.

D-#kupata ndoto nyingi za kugombana na watu bila kujua sababu.

E-#kupata ndoto nyingi za kufukuzwa na simba.

F-#ndoto nyungi za kukimbizwa na mbwa mwekundu.
+255685566362

G-#Ndoto za  kukimbizwa na nyoka aina ya chatu.

H-#Ndoto nyingi za kuanguka kutoka juu ya mti mrefu na kupiga kelele kwa nguvu mno.
+255717108210
+255685566362
#A-tiba ya mwenye kuhama maradhi kwa sababu ya sihiri/uchawi atatakiwa kuchukua dawa hizi.

1-kamun aswadi.
2-kamun abyadh.
3-uwatu.
4-dalfilfil.
5-shubiri kidogo sana.
6-sukari mawe kidogo sana. 7-zaatari. 
8-habbat saudaa.

changanyo zote pamoja twanga upate ungwa kisha changanya na asali  mbaka ichanganganyike kabisaa mgonjwa ame anakunywa ujazo wa vijiko viwili vya chakula kwa siku mara tatu.

2-#kwa mwenye kuwa na sababu ya kijinni ama masheytwani.
Huyu kwanza maomee kisomo cha ruqya na kisomo cha kuangamiza majinni ya kisheytwani.
Na dawa anayo takiwa kutumia ni.

1-#mwangajinni.

2-#mkunazi.
3-#mjafari.
4-#dalfilfil.
5-#Iliki ya unga.
6-#uwatu.
7-#habbat soda.
dawa zote hizo changanya vizuri utwange uchunge unga mgonjwa awe anatumia kunywa katika uji wa dona kijiko kimoja cha chakuka kwa kikombe kimoja cha uji. Kwa siku mara mbili.

#Ustadh.
Msolo rajabu yusufu.

+255717108210

+255685566362.




0 comments:

Post a Comment