https://vm.tiktok.com/ZMS2TdhER/
Monday, May 26, 2025
Tuesday, December 3, 2024
December 03, 2024
No comments
#SIRI ZA HERUFI ZA MWANZO ZA MAJINA YA KILA MTU.
:-#hakika herufi na namba zinq siri kubwa mno katika maisha ya binaadamu katika uoumwengu wa kiroho na kawaida pia.
:-#Hakika katika Dunia hii bila ya herufi 28 ambazo ni ا ب ت ث ج ح خ د ذ ر ز س ش ص ض ط ظ ع غ ف ق ك ل م ن و ه ي na namba ambazo ni 1 2 3 4 5 6 7 8 9 ni vitu muhimu na vyamsingi mno katika uvumbuzi wa kila elimu na sayanyi yake yoite kwa ujumla wake.
:-#Herufi hizo ndizo zenye kuunda majina ya vitu mbalimbali hivyo basi kila kiti duniani kina jina lake na hata binaadamu kadhaalika kila mtu ana jina lake.
Hapa leo tuta peana maalifa ya kila herufi ya mwanzo wa jina la mtu na siti iliopo katika herufi hiyo.
"A B T Th C H K D D R Z S Sh R Z T Z O G F Q K L M N E W Y"
1-#Herufi *(A)*
Ukarimu na uaminifu, na wakati huo huo anafanya hasira, lakini ana moyo mzuri na ni nyeti sana
1-#Herufi *(b)*
Wewe ni mtu mwenye shauku ambaye anapenda maisha, haswa chakula kitamu, Matendo yako yanaweza kuaminiwa.
+255717108210
2-#Herufi *(T)*
Kujiamini, wewe ni kiongozi katika kazi yako, na kazi yako yotekwq asilimia nyingi inafanikiwa.
4-#Herufi *(th)*
Una asili ya ukali na ukaidi, lakini unatenda kwa akili.
5-#Barua *(J)*
Msiri mwenye talanta kubwa anayependa maisha
Lakini unakabiliwa na matatizo katika maisha yako mwenyewe.
0717108210
6-#Herufi *(H)*
Kwa kweli, unapenda kusaidia wengine kama mrekebishaji wa kijamii, lakini hukubali makosa yako
Kirahisi.
7-#Herufi *(kh)*
Tabia yako ni ya upendo, nyeti sana, ya kimapenzi sana, ya kushangaza sana, na maamuzi yako ni madhubuti, uko tayari kusaidia wengine na kutetea kwa nguvu na bidii kubwa.
8-#Barua *(d)*
Tabia nzuri na asie na hofu ya kushindwa, haswa katika uhusiano wa umma na jamii nzima.
9-#Herufi *(dha)*
Ni mtu qmbae hupenda na yupo Tayari kusema ukweli bila kujali wanq kuogopa wapi na mahala gani ama ana ongea na nania.
0685566362
10-#herufi*(t)*
Unajua hasa unachotaka, lakini kwa bahati mbaya ndoto zako hazitimiii hadi baada ya muda mrefu, lakini haukati tamaa na unavutia sana na mwenye shauku Zaidi na kupapania mambo yako.
11-#Herufi *(Z)*
Wewe ni mtu mzuri, lakini wewe ni mkarimu, na wakati mwingine mkatili, wa kimapenzi sana Una ukaidi wa kuvutia, na unasimamia kile ambacho ni sawa bila kujali ni gharama gani Unapenda mabadiliko katika utaratibu wako wa maisha, na unapenda kwa dhati.
12-#Herufi *(S)*
Wewe nimsirii na wa ajabu Unaficha hisia na hisia zako na hauzielezi mbele ya mtu yeyote
Na mwaminifu sana kwa wale unaowapenda. Yeye ni kifahari na kifahari katika shughuli zake na mwenye kupendwa na watu
0717108210
13-#Herufi *(sh)*
Una asili kali na ya kudhibiti, lakini una sifa ya haiba, kuvutia, na busara
14-#Herufi *(S)*
Unasitasita, unatenda kwa kiburi, unapenda matukio, unajisikia huzuni haraka, na unapenda kutoka moyoni.
14-#Herufi *(dha)*
Unaweza kutegemewa kulinda wale unaowapenda kwa njia inayofaa
15-#herufi *(t)*
Wewe ni mtu wa kushangaza na mwenye mhemko ambaye wakati mwingine anaweza kuchqnganyikiw a kwa huzuni na stress nyingo
16-#Herufi *(Z)*
Mnyoofu, tenda kwa imani, tetea haki zako na usitarajie malipo yoyote
17-#Herufi *(A)*
Tamaa ya maoni yako ya kisayansi ni ya upole na ya kufurahisha, lakini hivi karibuni unakasirika na kuwa mkali, mwenye upendo na kamwe usimwachie mpendwa wake, na mzuri sana. Na kifahariZaidi sana, watu wote hawawezi kuishi bila hiyo, na watu wote wanaipenda na kufa ndani yake.0717108210
18-#Herufi *(gh)*
Nina hamu na udadisi wako ni matokeo ya mambo ya kisayansi, na dosari yako pekee ni ukosefu wako wa joto wakati mwingine.
19-#Herufi *(F)*
Tabia na tabia yako ni ya ajabu na huwavutia wengine, na kazini wewe ni stadi na ustadi ndio sababu ya wengine kukupenda Unaweza kuumizwa kidogo, lakini unapenda kwa dhati, na fadhili zako nyingi ndizo zinazoharibu mahusiano. Huamini kwamba mtu yeyote anastahili upinde wako kwao.
20-#Herufi *(q)*
Una bahati ya kufanikiwa katika nyanja zote na kupata matokeo chanya
21-#Herufi *(K)*
Mzuri lakini mkali wa asili, unatetea haki zako kwa nguvu kazini na una sifa ya usimamizi mzuri 😘😍
22-#Herufi *(L)*
Upendo wako wa kusafiri na harakati unaathiri asili yako. Wewe ni hodari wa kushinda mioyo ya wengine.
23-#herufi *(m)*
Moyo wako ni mkubwa na kifua chako kinakukaribisha, unapenda kwa dhati. basi utaudhishwa na wanaokupinga lakini wewe ni mvumilivu na unapenda watu wakutendee vile unavyowatendea.
24-#Herufi *(n)*
Kujaribu kuwa na rohoUongozi na wewe ni mtu anayeongoza, wa ajabu, wa kupendwa, mbunifu, huru na mwenye akili
25-#herufi *w* watu wanao penda kutumia kalamu na wanachoandika", "Ni mchangamfu na wa kijamii sana, moyo wake ni mkubwa na mzuri, na ni mtu mvumilivu na mzuri, na sifa zote hukusanyika ndani yake.
26-#herufi *(H)*
Kiongozi wa kweli, thabiti, wa kijamii na mwenye kipaji, na unavutia umakini
27-#Herufi *(W)*
Wewe ni mtu anayejali, wa kimapenzi Una mapenzi, lakini wewe ni mvivu linapokuja suala la kufanya kazi fulani
Unahitaji watu wengine kukusaidia kupanga kazi yako, lakini unajitolea kwa ajili ya wale unaowapenda
28-#Herufi *(Y)*
Wewe ni mtu wazi, wa vitendo, na mwenye bidii wa utawala ambaye anapenda kazi na wengine, na wewe ni mwaminifu katika upendo wako.
Ustadh MSOLO RAJABU YUSUFU.
+255717108210
0685566362.@Frendas @high lights.
@all followers.
Tuesday, July 11, 2023
KUGEUZA UCHAWI NA UADUI.
July 11, 2023
No comments
KUPINDUA ZOHALI/KUGEUZA HALI.(UCHAWI)
#Kwa mtu ambae amekumbwa na zohali ama amefanyiwa uwadui ama zohali ambao ukapelekea kuharibu ama kugeuza aidha iwe hali ya kiuchumi ama nyota yako basi mtu huyo anaweza kujisaidia na kujikwamua kwa kupitia utaratibu huu.
Uta takiwa kwanza kutafuta na kuijua nyota yako na siku inayo tawala nyota hiyo kisha uta ihesabu kutoka nyota yako hadi nyota ya kumi na moja yako ukisha ipata na kuijua sasa utaifanya kazi yako siku ya nyota yako kwa saa ambayo inatawala ile nyota ya kumi na moja yako muda huo uta takiwa kuwa na vitu vifuatavyo.
Chukua nazi ishirini na moja (21) uta zipange nazi zako kwenye mswala wako wa kufanyia dua yako kwa kukuzunguuka kila sehemu uta panga nazi tatu tatu kila upande zina kuzunguuka wewe ukiwa kati kati hapo kati utakapo kaa uta mwagia majivu na kuyasambaza sehemu ya kukalia wakati huo utakuwa umevaa nguo zako safi lakini nguo hizo utatakiwa uwe umezigeuza kama vile mtu anae taka kuswali swala kwa ajiki ya kuomba vua wakati wa ukame.
+255717108210
Pia nibora zaidi nguo hizo zikiwa ni nguo ulizo zivaa mda mrefu yaani una mda nazo wa miaka mingi.
Kila nazi moja utaisomea suurat yaasinياسن mara tatu(3) na ukimaliza tu kusoma sura mara tatu unaenda kuivunja kwenye jiwe mbaka zote zitakapo kwisha .
+255685566362
Baada ya kumalizakabisa utachukua ndoo ya maji masafi kisha utatia ndani yake maji saba tofauti utachanganya ndani yake na sukari nyeupe pamoja na chumvi nyeupe ya unga.
Utakoroga vizuri na huku unasomea kwenye maji hayo suuratil hajji(سورة الحج) mara moja na suuratil nnuur(سورة نور) mara tatu utaenda kuyatumia maji hayo kuyaoga muda wa wiki moja mahali pasipo kuwa chooni ama weka katika chupa ya maji masafi uwe unajipaka ndani kila unapo tuka kuiga asubuhi na usiku kwa muda wa wiki moja.
Kwa kufanya hivyo majibu utayapata na matokeo yake mazuri utayaona inshaa allah.
Kwa maswala yoote ya tiba na visomo mbali mbali wasiliana na USTADH.
#MSOLO RAJABU YUSUFU.
+255685566362
Wattsup
+255717108210.
MARADHI KUHAMA HAMA MWILINI
July 11, 2023
No comments
#MARADHI YA KUHAMA HAMA MWILINI.
#Hakika mwili wa mwanaadamu umejawa na maradhi mengi ya kila namna na kawaida ya vyanzo vya maradhi katika miili ya binaadamu ni vitu vinne ambavyo ni.
1-#mazingira mabaya(uchafu).
2-#ulaji mbaya wa chakula.
3-# Aleg ya baadhi ya vyakula na vitu fulani.
4-# Kurithi.
+255717108210
+255685566362
Ama kwa maradhi mengi yenye kusababishwa na sababu hizo huwa ni maradhi ya kibaiologia ambayo huweza kugundulika kupitia vipimo vya hospital (sayansi) na huweza kutibika hospital.
#lakini kwa maradhi ya ndani ya mwili wa binaadamu ambayo huwa na tabia ya kuhama hama yaani kuuma mara kiungo hiki mala kile mala kina bana hapa muda kina achia na kubanakule na ukienda karika vipimo vya kihospitali hauonekani ugonjwa basi tambua wazi haya ni maradhi yanayo sababishwa na mambo mawili.
1-#uchawi ulio ingia mwilini.
2-#Ni jinni anae sababisha maradhi hayo.
+255685566362
1-#Ikiwa ni sababu ya kichawi basi wakati maradhi yanashika kasi huambatana na dalili hizi.
A-#hushika sana nyakati za usiku.
B-#mwili hushika sana baridi.
C-#mwili kukakamaa baadhi ya viungo.
+255717108210
D-#mgonjwa kukaukiwa maji na kupatwa na kiu kikali.
E-#mgonjwa huisi makelele masikiini mwake.
F-#Kupata ndoto nyingi usiku za kula nyama.
G-#Ndoto nyingi za kuwa na watu asio wajua ama kuwajua lakini haswa asio kuwa na maziea nao.
H-#kupato ndoto nyingi zakuwa anacheza ngoma kama za kiasili pasi na kujua zanahusu tukio gani.
I-#Ndoto nyingi za kung'atwa na mbwa mweusi ama kugongwa na nyoka mweusi.
+255685566362
J-#huisi kama wadudu wadogo wadogo sana wana mtamba ndani ya ngozi.
K-#kuisi kitu cha baridi maka nyoka ama jongoo ana mgusa na mda mwingine hata kuweza kuona mwenendo ama umbile wa kitu hicho juu ya mwili kama vile mama mjamzito wa miezi saba(7) hadi tisa (9)anavyo ona mapigo ya mtoto ama mahali alipo egamia.
+255717108210
2-#Kwa mwenye kuwa maradhi ya kuhama hama ambae husababishwa na jinni nae atatambua kwa maradhi yake pindi yanapo taka kumshika huambatana na dalili zifuatazo.
A-#mwili hupata joto kali.
B-#kuisi kama kutaka kujiwa na presha ya kupanda.
C-#kuisi mwili kuisha nguvu na kuchoka sana kupita kiasi.
D-#kupata ndoto nyingi za kugombana na watu bila kujua sababu.
E-#kupata ndoto nyingi za kufukuzwa na simba.
F-#ndoto nyungi za kukimbizwa na mbwa mwekundu.
+255685566362
G-#Ndoto za kukimbizwa na nyoka aina ya chatu.
H-#Ndoto nyingi za kuanguka kutoka juu ya mti mrefu na kupiga kelele kwa nguvu mno.
+255717108210
+255685566362
#A-tiba ya mwenye kuhama maradhi kwa sababu ya sihiri/uchawi atatakiwa kuchukua dawa hizi.
1-kamun aswadi.
2-kamun abyadh.
3-uwatu.
4-dalfilfil.
5-shubiri kidogo sana.
6-sukari mawe kidogo sana. 7-zaatari.
8-habbat saudaa.
changanyo zote pamoja twanga upate ungwa kisha changanya na asali mbaka ichanganganyike kabisaa mgonjwa ame anakunywa ujazo wa vijiko viwili vya chakula kwa siku mara tatu.
2-#kwa mwenye kuwa na sababu ya kijinni ama masheytwani.
Huyu kwanza maomee kisomo cha ruqya na kisomo cha kuangamiza majinni ya kisheytwani.
Na dawa anayo takiwa kutumia ni.
1-#mwangajinni.
2-#mkunazi.
3-#mjafari.
4-#dalfilfil.
5-#Iliki ya unga.
6-#uwatu.
7-#habbat soda.
dawa zote hizo changanya vizuri utwange uchunge unga mgonjwa awe anatumia kunywa katika uji wa dona kijiko kimoja cha chakuka kwa kikombe kimoja cha uji. Kwa siku mara mbili.
#Ustadh.
Msolo rajabu yusufu.
+255717108210
+255685566362.
Saturday, January 28, 2023
#MGOLO/BAWASILI.
#BAWASILI/MGORO.
#Tunapo zungumzia bawasili/mgoro hili ni tatizo ama ni janga balo lina wakumbwa watu wengi mno na janga hili si la jinsia moja bali huwapata watu wa jinsia zote mbili yaani wana wake na wanaume pia.
#Watu wengi wamekuwa wakihangaika sana kwa kutatua tatizo hili na wengine hufikia hata hatua ya kufanyiwa upasuaji mdogo lakini baada ya muda tatizo hurejea tena pale pale.
0717108210
#AINA ZA BAWASILI/MGORO.
A-#Bawasili zipo za aina mbili kuna bawasili ya ndani na bawasili ya nje.
A-#Bawasili/mgoro. yandani ni ile ambayo hutokea ndani kidogo ya ya njia ya haja kubwa ambayo hua haina maumivu makali sana kwani pia tunaweza kusema kama ni bawasili ambayo ni changa haija komaa .
B-#Bawasili/Mgoro ya nje hii ni aina ya bawasili ambayo tayari inajidhihirisha kwa mtu moja kwa moja kwa kudhihiri vinyama katika njia ya haja kubwa kwa kuiziba njia ya haja na kuina kuvimba kama vijipu ama malengelenge katika njia hiyo ya haja kubwa ama kutoka nje kabisaa vinyaka kuwa vina ning'iniya nje ya njia ya haja kubwa.
0685566362
#Hii tuma weza kusema ni bawasili ilio komaa kwani huwa na maumivu makali sana hata kusababulisha haja kutoweza kutoka kabisaa ndipo hupelekea hospitalini kulazisha kumfanyia mtu upasuaji mdogo.
#JE? NINI HUSABABISHA BAWASILI/MGORO?.
#BAWASILI:-Huweza kumpata mtu wa jinsia yoyote endapo ata jijengea kuwa na tabia hizi zifuatazo.
A-#kupenda kunyanyua vitu vizoto kupita kiasi chake pamoja na ufanyaji wa kazi ngumu mda mrefu.
B-#Vyakula vikavu na vya special vya kusindika mda mrefu.
0717108210
C-#Kujikamua kwa mda mrefu kila anapo kwenda haja kubwa.
D-#Kuka kitako/chini kwa muda mrefu sana kama vile madereva wa masafa marefu na wasusi wa nywele na nguo(mafundi vyarahani).
E-#Kulawitiwa ama bawasiri pia huwapata watu ambao wanapenda kufanya mapenzi kinyume na maumbile alio yahalalisha mungu (KUFILWA).
F-#Unywaji mdogo wa maji kila mtu mwili wake una wastani wa kiwango chake cha maji kinacho hitajika kulingana na uzito wa mwiliwake sasa unapokuwa una unyima zaidi kiwango cha maji kwa muda mrefu hupelekea mwili kuipoza damu vizuri na mwishoe huanda kuganda katika baadhi ya seheme katika mwili na kuleta madhara.
G-#Kikohozi cha mda mrefu.
Mtu kuwa nantatizo la kukohoa kwa mda mrefu.
H-#uzee mtu anapokuwa mzee huwa ni rahisi sana kupata janga hili la mgoro.
I-#Kurithi.
Kuna wwngine hupata tatizo hili kutokaa na kurithi ugonjwa kutoka kwa wazazi wao.
J-#kupenda kujizuia kwenda haja pale inapotaka kutoka mtu akawa anapenda kuizuia makusudi na kujipandia yeye mwenyewe mda maalum.
#Je? Nini kifanyike ili kuepukana ama kutokomeza tatizo hili la bawasiri/mgoro ili kuwa salama kabisa??
0685566362
Hakuna njia nyungine bali tu kupata tiba na kuacha vyanzo vyote hatarishi ambayo hupelekea mtu kupata tatizo hili la bawasiri/mgoro.
Kwa matibabu ya mgoro na maradhi mengine sugu na kuatua kadhia mbali mbali.
Mawasiliano ni
+255685566362
Tuesday, December 20, 2022
NUKSI/MKOSI.
December 20, 2022
No comments
#KUVUA NUKSI/MKOSI.
#hakika kuna watu wengi wamekuwa wakiandamwa na nuksi/mkosi na kuoaga dawa za miti mingi na hata makombe nankufanyiwa mazingua mengi lakini bado hali ya nuksi/mkosi bado ni wenye kuwa andama katika kazi zao na maisha yao ya utafutaji kwa ujumla.
#si kwamba hawakupewa dawa halisi ya kutoa hizo +255717108210 nuksi/mkosi laaa hasha si hivyo.
Isipo kuwa nuksi zina matabaka.
A-#kuna nuksi ya upepo mbaya tu kukupitia :-hii huweza kuoga dawa tu na kuondoka mara koja hata kama upewe dawa isiyo kuwa na nguvu kubwa.
B-#Nuksi ya upepo wa jinni :-hii pia unapo pozwa tu na madawa ya kufukiza basi unapo toka upepo ule na nuksi yake huondoka pamoja.
C-#Nuksi ya kuiiumbwa kwa kuoga maji ya kubakishwa chooni :-hii pia huweza kutoka kwa kupigwa majosho matatu na nuksi kuondoka na kukaa sawa.
D-#Nuksi ya kuzini na mtu mwenye nuksi:-Mtu anapo jamiiana+255685566362 (kufanya mapenzi)na mtu mwenye nuksi basi mtu huweza kuambukizwa na kupata nuksi itakayo mfelisha katika shughuli zake za utafutaji wa biashara na maisha.
+255717108210
+255685566362
E-#NUKSI YA KAFARA NA KIAPO.
#:-Sasa hii ndio nuksi ambayo mtu anapo kuwa nayo ina kuwa ni nzito kutoka kama hukuijua na kupita katika miiko yake.
Kwani nuksi hizi ni miongoni mwa nuksi kali na ni mbaya sana kuwepo kwa mtu.
#Kwani nuksi hizi hutokana na mtu mwenyewe kuchukuliwa athali zake yaani kuchukuliwa(nguo yake ama kucha zake au nywele zake)na kufanyiwa mambo ya kichawi na mtu ndio hufungika nankuvurugikiwa maisha yake kabisa.
#Hivyo basi basi unatakiwa pia kupita katika miiko yake na taratibu zake ili kuweza kuivunja nuksi hiyo na mtu aweze kupata nusura.
#Nuksi hii ili uweze kuepukana nayo basi inakubidi upate baadhi ya vitu utakavyo fanyia dawa yake ambavyo ni kama ifuatavyo.
#Mgonjwa huyo mwenye nuksi ata vaa nguo zake kama kawaida vizuri kabisaa kama kawaida yake anavyo vaa kila siku lakini pale mahala ambapo anatakiwa kukaa kufanyiwa dua yake kuna takiwa kuwekwe vitu vifuatavyo.
#Taka za bahari za maji kutoka, ngata ya sokoni,jivu la jalalali,Yai viza moja,Nazi za kawaida tisa(9).mgonjwa atakalia hapo kwenye hivyo vitu kisha ndio atafanyiwa Dua/kisomo chake mbaka akimaliza basi vitu vyote vile hadi nguo alizo zivaa wakati wa dua ata zimwagia mafuta ya taa na atapeleka mahala husika.
#Basi baada ya muda ataanza kuona mabadiliko na mambo yake kufunguka na nuksi/mkosi ulio kuwa ukimsumbua kuondoka.
#Ustadh,
#MSOLO RAJABU YUSUFU.
#watts up +255717108210.
#Simu namba +255685566362
Thursday, December 8, 2022
MAJI-2.
December 08, 2022
No comments
MAJI-2.
Ikiwa ni muendelezo wa darasa likilo tangulia tuna angalia faida ya maji katika kujikidhishia haja mbali mbali tuna endwlea kujuzana faida kama zifuatazo.
1-#Kutoa vifungo na nuksi katika mwili.
Chukua maji ya mtu ya kutembea kisha andika سورة تين الى اسفلش سافلىن
Mara saba kisha changanya na hayo maji tumia kuoga kwa siku saba.
baada ya kumaliza chukua maji ya bahari ya kujaa andika سورة القدر mara kumi na moja (11) na aayatu nnuur mara moja.tumia kuoga siku saba nuksi itaondoka na kheri zitafunguka kwako.
2-#Kumtuliza mke/mume.
Mume au mke ambaya hajatulia katika ndoa anamichepuko ama ni malaya unapotaka atulie basi.
Andika سورة النباmara moja kwa kuizunguusha duara ikunje vizuri na mzizi wa mpingo ifunge na kitambaa cheusi kaifukie katika maji yaliyo tuama kama bwawa ama ziwa ama kisima basi mtu huyo atatulia na kuacha kufanya ujinga aliokuwa akiufanya.
+255717108210
+255685566362
3-#Kumuamisha mtu sehemu.
Ikiwa kuna mtu anakuwa kero kwa watu wengine huwafanyia wenzie vitimbwi vibaya kama kuwasingizia kesi na maneno ili wafukuzwe kazi ama aondolewe mtu mahala flani kwa chuki zake tu binafsi ilimradi tu kufanyia watu ushenzi.
Basi tafuta kiatu kibovu cha kuokota kisha kiandike سورة نشرح mara saba na سورة التين mara moja.
Somea suurat nashraha mara 313.
Kisha kaitupe kwenye maji ya mto yanayo tembea basi hatoishi hapo mda mrefu mahala hapo isipokuwa ataondoka tu.
4-#Kutoa maradhi ya mda mrefu.
Chukua karatasi andika سورةالطارق الىيخرجmara moja moja katika karatasi mbili tofauti kisha moja utatumia kuioga na kunywa wiki moja na nyingine utaenda kuitupa katika kilima ambacho maji yanapita kwa manuizo na makusudio ulio nayo.
5-#Kutoa maradhi ya kichawi mwilini.
Chukua maji ya mvua weka katika glass ya maji kisha andika aya tano za mwanzo surat yaasin (سورة ياس) kisha anza kusoma sura hiyo kila ukifika katika tamko mubiyn utaziaoma aya mbili za mwisho za sura hiyo (سورة ياس) mara 33 (مبين) mgonjwa atakunywa maji hayo funda moja atafanya utaratibu huo mbaka sura inapo isha utakapo lifanya zoezi hilo kwa siku tatu hadi saba basi uchawi huo utaweza kuondoka kabisa na afya kuimarika.
Ustadh.
MSOLO RAJABU YUSUFU.
+255717108210
+255685566362.