Tuesday, May 17, 2022

mikondo ya majnni.

#MAJINNI NA MIKONDO YAO.

#Majini ni viumbe vilivyo umbwa na mwwnyezimungu kama tulivyo umbwa viumbe vingine vyote isipo kuwa malaaika majinni ma binaadamu tumepewa sifa ya kupewa asili tulio tokana nayo tofauti na viumbe wengine.

-#mfano malaika wameumbwa kutokana na nuru na binaadau tumeumbwa kwa udongo na majinni wao wameubwa utokana na moto.
#majinni wamegawanyika katika tabaka kuu mbili ambazo ni uruhaania na usubiaania.
#pia vilivile unatakiwa hujua kwamba ndani ya uruhaania kuna tabaka mbili kadhaakika na usubuaania unatabaka mbili.
Ndani ya tabaka hizi wapo ambao hupendelea kuwa kwa wanaume tu na wapo ambao huweza kuwa kwa yoyote(mke ama mume) vilevile wapo ambao hupendelea wanawake zaidi.
Yote hii pia hutokea kutoka na nyota ya mtu mwenyewe husika zaidi.
+255685566362

+2557171082101-#Kundi la kwanza ni surtaania (masurtan) na burhaania(maburhaan).
-#katika kundi hili surutaania ni tabaka ambalo limeilemea zaidi katika usubiania na tabaka hili la majinni hawa huweza kupanda katika kichwa cha mtu na kuzungumza na tabia zao hawa huweza kufanya kazi katika mazingira yote mawili yaani anaweza ufanya tiba ya kitabu bimaana kufanya kuandika matarasimu kusoma dua na hata kupanga kafara ya tatizo fulani pamoja na wakati mwingine huweza kutibia kwa kutumia miti shamba yenyekuwa na asili kama ya mchanganyiko na dawa za kupika na hata kuchanganya dawa tofauti dawa za bara na pwani.

2-#Ama tabaka la pili ni burahaania.
Kundi hili la maburuhaani ni kundia ambalo kwanza hupenda sehemu ilio kuwa na utulivu zaidi na mara nyingi hawa hawapandi kichwa kwa mtu na kuingea na kusikika kwa mwingine bali wao hutoa taarifa ama habari za wazi kwa mazungumzo kwa mtu husika lakini huja pale tu panapo hitajika kupatikana taarifa muhimu mara nyingi tabaka hili si wafanyaji kazi wenyewe moja kwa moja bali hutoa maelekezo tu na kazi humuachia mtu husika kuifanya kazi hiyo.
Mara nyingi hupendelea mavazi mazuri na manukato yasio nukia sana na wengi hupenda kutumia tasbihi yaani kufanya mambo yao kwa kutumia vipande vya aya katika qur-an.
Na kufanya tiba kwa kutumia maji na aina za marashi na manukato.

+255717108210

+2556855663622-#Tabaka la pili ni makhaadim na maruhani.
Tabaka hili nalo kama lilivyo la kwanza yupo anae pendelea kupanda na asie pendelea kupanda.

1-#Ruhani -#Jinni huyu katika tabaka hili akiwa kwa mwana mke ana asilimia nyingi za kupanda kichwani lakini kwa mwanaume ni vigumu mno kupanda kichwani.
Sifa yake ni upole na kazi zake hutumia sana dua na hata kufanya ibada za usiku hupendelea mno mavazi meupe na utulivu pia hupendelea manukato yenye harufu ya mda mrefu na yasio fanana na mengine ana penda sadaka ya kuchinja mbuzi ama kuku mweupe na sadaka kuwagea watoto wadogo mfano wa vitu vitamu sana pamona na chakula.

2-#Khadimu.
-#Tabaka hili ni tabaka mbalo huweza kulikuta kwa mwanamke kwa kiasi kikubwa labda mwanamke huyo awe na elimu ya kutosha ama awe amemrithi kutoka kwa baba yake mzazi tu pekeyake.
Lakini hili ni tabaka la majinni ambalo hupatikana kwa wanaume mno ni jinni ambae anaheshimu taratibu zake anaweza kukuhama ama kuindoka kwa mda mrefu kwa kukosana kwa kitu kidogo mno si muongeaji sana anapenda kazi zake kuzifanya mwenyewe kwa ujumla hupendelea kumtokea mtu katika umbile la kibinaadamu moja kwa moja na kuingea nae kama mtu wa mawaida.
Huweza kufanya kazi mchanganyiko na ana njia nyingi za tiba na kafara za matibabu pia mda mwingine hupenda kuchinja kondoo mwekundu ama mweusi mwenye  baka jeupe.
Huleta taarifa katika mda husika na anaweza kutokea popote hata kama hakuana utulivu wa kusho.
Anajua tiba ya miti na kitabu.
Hupendelea kutumia sahani ya kioo katika kuandika tiba zake.
Mda mwingine hutumia mishumaa zaidi.

Kwa maswali na ushauri.

+255717108210

+255685566362.


Saturday, May 14, 2022

Ndoto ya Tunda.

Mtu kuota anapewa tunda linalo liwa na binaadamu anapewa kwa taadhima na ustaarabu wa kibinaadamu si kwakurushiwa.

#basi ndoto hiyo ni ishara ya kwamba muotaji wa ndoto hiyo atapata faraja juu ya kipindi kigumu alicho pitia kutokana na ugumu wa kipato.

#pia ina ashiria kupata rafiki kutoka  mbali usie mtarajia ambye atakupa mipango ya kimaisha na kufaidika kupitia yeye.

#Ama kama kunakitu ulipoteza unaweza ukakiona ama kukipata kabisaa.

MUNGU NDIE MJUZI ZAIDI WA YOOTE.

+255695566362

+255717108210

MSOLO RAJABU YUSUFU.


NDOTO YA KUOTA SHILINGI YA ZAMANI.

#Ikitokea mtu mbaye ana dhiki kiasi amefungika shughuli zake kwa muda akaja akaota usiku anapewa pesha aina ya shilingi nyeupe ya zamani ambayo kwa muda alio kuwa nao haitumiki.

:-#basi ni ishara kuwa mtu huyo yupo njiani kupata faraja na kufungukiwa na shughuli zake muda si mrefu.
pia atapata taarifa kwa watu wake wa mbali walio kuwa wamekata ama kupoteza mawasiliano.

+255685566362

+255717108210

usradh,.          msolo rajabu yusufu.


NDOTO YA KUOTA Kutembea uchi.

Kwa mtu ambaye ameota anatembea uchi barabarani na akiwa na akili timamu wala hajatoka kwenye ugomvi ulio sababisha kutokuwa na nguo.

#basi ni ishara kwamba mtu huyo.
:-ata pata dhiki na ugumu katika shughuli zake kwa takribani miezi minane(8).
atakuwa ambaye riziki ya kula napata kimazabemazabe lakini kupanga mipango yake na watu itakwama kwa muda kiasi.
pamoja na mgongano na mke ama mume.

+255685566362

+255717108210

msolo rajabu yusufu.


Friday, May 13, 2022

NDOTO ZA kuota mazoezi.

kwa mtu mzima alie barehe na kuanza kujitegema katika harakati za kimaisha ikitokea katika usingizi wake wa usiku wa manane anaota anafanya mazoezi ya kuweka mwali sawa iwe ni mazoezi ya ngumi ama mpira  ama mazoezi yoyote lakini awe anafanya kwa hiyari yake na hapati maumivu.

basi ndoto hii ita ashiria kwamba

mtu huyo atqfungukana mambo yake na kama alikuwa mgonjwa kalazwa pasi atapona upesi na kuruhusiwa mapa
Nakama mahusiano yake yapikuwa hayaja kaa sawa basi yatakuwa sawa atatulia.

+255685566362

+255717108210.

msolo rajabu yusufu.


NDOTO YA KUOTA Bahari.

Mtu anapo ota yupo baharini ana chezea maji kwa furaha ana kwenye kina kilefu pasi na kuzama ana ogelea anavyo taka na kwa speed kubwa wala hakuna madhara yoyote kwake.
basi ni ishara kwamba muotaji.

#Atafungukiwa na mali pia atajawa na faraja kubwa na mipango yake mingi inaweza kutekelezeka upesi na kufanya jambo ambalo litakuwa lenye kubaki kama kumbukumbu.

+255685566362

+255717108210

Msolo rajabu yusufu.


NDOTO YA Kushangawa na watu.

Ikitokea mwana ume ama mwanamke anaota anapita njiani ama anatoke sehemu amboyo watu wengi wamekaa kama wapo shughulini ama kwenye kikao kisha yeye wakawa wanamshangaa ama wamepatwa na butwaa baana ya yeye kutokea.

ni ishara wazi kwamba ndoto huyo inamuashiria muotaji.

#Atapata maradhi ya ghafla na yata msumbua kipindi kirefu kinacho weza kufika miezi nane(8).

+255685566362

+255717108210

sayariyatiba.blogspot.com


KUOTA KUFANYA MAPENZI NA MAREHEMU.
SAYARI YA TIBA - 09:07

#Ndoto ya mtu kufanya mapenzi na myu alie kufa ikiwa mwanaume anafanya mapenzi na manamke alie fariki.

#ama mwanamke kufanya mapemzi na mwanaume alie kwisha fariki.
basi ndoto hiyo inaishara ya kwamba mtu huyo atapata taarifa mbaya na yakushtusha moyo pia atapata matatizo ya mikosi na kufukuzwa kazi ama kunyang'anywa mali yake anayoitegemea kuingizia lipato pamoja na kudhulumiwa mali.

+255685566362

watts up +255717108210

msolo rajabu yusufu.

NDOTO YA KUOTA mafuriko.

mtu wa jinsia yoyote ikitokea ameota anasomba na maji yaafuriko nankupelekwa sehemu yanapo eleke maji.
Ama akaota mafuriko yameingia ndani ya chumba chake na mbaka thamani zake za ndani zika vurugika basi ndoto hiyo ina ashiria kwamba.

#Muotaja ataharibikiwa na mambo yake lakini ajihadhari sana na maneno ya umbea na ugomvi kwani mbele yake kuna dalili ya kupigwa kipigo na mtu aidha atake mjua ama asie mjua njiani.
pia anaweza kusimamishwa kazi kwa kosa asilo litenda na kushtakiwa.

+255717108210

+255685566362  


NDOTO YA Kuchezea utupu(uchi).

Ikitokea mwana ume anaota anachezea uchi wa mtoto mdogo na hata kama anataka kufanya mapenzi na mtoto mdogo ambae mbaka inapelekea maumbile yake kushindwa kuingia ama yakaingia lalini ni kwa shida basi tambua ya kwamba ndoto hiyo ina ashiria kwamba.

#Muotaji wa kiume atapata dhuliki ya muda mrefu kiasi cha kupoteza mali na kifa kwa mipango yake mingi kadhaalika huweza kukimbiwa na mke ama mpezi wake.
ni mtu ambae atakubwa na huzuni na masikitiko ya mara kwa mara.

+255685566362

+255717108210

Msolo rajabu yusufu.


NDOTO YA Mwana mke alie olewa.

#Kwa mwana mke alie olewa yupo ndani ya ndoa tayari ikitokea ameota anafanya mapenzi na mwanamke mwenzie.

basi ndoto hiyo inaishara ya kwamba mwanamke huyo ajihadhari sana maana muda wowote kutokea hapo itapatikana sababu ya yeye kuachwa na mumenwake.
pia kugombana na kutengama na baadhi ya marafili zake.

+255685566362

+255717108210

msolo rajabu yusufu.


NDOTO YA KUINA Mbingu/anga imetoboka.

#ikitokea mtu katika usingizi wake amepata kuona mbingu/anga ya juu imetoboka basi hiyo ni kwake ina muashiria muotaji kwamba.

#mtu ambae atapata matatizo pia anaweza kufiwa na mtoto ama mke siku si nyingi.

+255685566362

+255717108210

Msolo rajabu yusufu.


NDOTO YA Kufanya mapenzi na mzazi.

#Ikitokea mtu akaota anafanya mapenzi na mzazi wake mwana ume kufanya mapenzi na mama yake mzazi ama.
mwana mke kufanya mapenzi na baba yake mzazi.

#Basi tambua ndoto hiyo inaishara ya kwamba mtu huyo atapata bahati ya kupata mali na kufungukiwa shughuli zake pamoja na kupata faraja kipindi si kirefu.

atajisikia ni mtu mwenye amani na kama yupo jela basi atatolewa nje.

+255685566362

+255717108210

msolo rajabu yusufu.



Thursday, May 12, 2022

NDOTO ZA Kuota kupaa.

#KUPAA.
:-#Mtu anapo ota anapaa angani huku akiwa katika hali ya furaha na mwenye amani.na mbaka mwisho wa ndoto yake isionyeshe kuwa ana anguka kutoka juu na akiwa na hofu na mashaka ya kuumia kutokana na kuanguka kwake basi tambua.

:-#Ni ishara ya kwamba mtu huyo atapata bahati kubwa na kufungukana katika shughulizake za kifedha.

:-#Dua yake anatakiwa asome suuratil waaqiya mara kwa mara.

+255685566362

watts up   +255717108210.

ustadh,     msolo rajabu yusufu.


NDOTO YA Kuota kuwa na watu maarufu.


#Ndoto.

:-#kuota mtu anaongea ama anafanya matembezi amakufanya mazungumzo ya kimipango ya kimaisha na watu ama mtu maarufu sana duniani alie kuwa yupo hai .
basi tambua ndoto hoyo ina ashiria kwba muotaji atapata dhiki itakayo muandama kwa muda mrefu kiasi dhiki hiyo itamfanya kuwa mtu ambae kama nyota yake imefunikwa wala hakutakuwa na dalili ya kupata msaada kwake pia atakuwa ni mtu mwenye kupatwa na uvivu mkubwa kupita kiasi wa kutumia dawa pamoja na kutaka kujiagua.

:-#Dua yake mtu huyo ana takiwa asomewe kisomo kikubwa cha kuondoa balaa kisomo hicho kiambatane na kutoa swadaka ya mnyama aina ya kondoo kisha igaiwe kwa mafungu yasiyo pungua saba kupewa watu wa familia tofauti.

+255685566362

watts up   +255717108210.

ustadh,

msolo rajabu yusufu.

Monday, May 9, 2022

NDOTO NA KAFARA ZAKE.


#SIRI ZA NDOTO.

#Ndoto ni ishara ya ujumbe wa siri ambao mtu huupata kupitia usingizi.(njozi).
ndoto ni ujumbe ambao unatoa taarifa kwa mtu kuhusiana na mambo mengi yanayo muhusu mtu mwenyewe ama kwa watu wa familia yake unao julisha mambo kadha wakadha.

#Ndoto huweza kutoa taarifa kwa mtu juu ya tukio linalo taka kutokea baadae na hata kuku juza jambo ambalo lilifanyika kipitndi kilicho pita ambapo tukio lake lilifichika ama lilikuwa na utata ama usiri hivyo mtu huweza kupata taarifa zake kupitia ndoto/njozi.

Ndoto zime gawanyika katika sehemu mbili.
(a)#ndoto za kiroho(kutoka kwa mungu)
(b)#ndoto za kijinni.

A-#Ndoto za kiroho.
hizi mi ndoto ambazo huwa ni taarifa moja kwa moja mungu humfunulia mja wake juu ya jambo ambali halija tokea na uotaji wa njozi hizi hua mtu huota njozi na tukio litakavyo kuja kutokea huwa ni vile vile alivyo ota hata kama tukio litakuja kutokea baada ya kiaka kadhaa.

B-#Ndoto za kijinni.
hizi ni njozi ambazo mtu anaota lakini taarifa ya jambo lenyewe huwa linaweza kuwa ni kinyume chake ama linaweza kuwa ni jambo lilelile lakini kwa mtu tofauti.

#mfano mtu anaota anafiwa na mwanae lakini hafi mtoto wake wa kumzaa isipo kuwa atakufa wa jirani yake.
ama anaota kufariki wa jirani yake anaoifa wa kwake.
#Katika swala zima la kujua siri za maana za ndoto huwa kunazingatiwa vitu vifuatavyo.

1-muotaji alikiwa katika mazingira gani?.
2-ameota kitu gani?.
3-katika hiyo ndoto amekiona kitu gani?.
4-kitu hicho kilikuwa katika sehemu gani mazingira gani naboipikuwa kina fanya nini?.
5-Ndoto imeotwa majira gani/saa ngapi?.

+255685566362

+255717108210


#kwa kuzipata taarifa hizo zote happ itaweza kujulikana maana na siri halisi ya  ndoto/njozi hiyo.

#zifuatazo ni aina ya njozi/ndoto na tafsiri/maana zake.

1-#mtu alie maliza shule kuota yupo shule anafanya mtihani na ana feli.

-:#hii ina maamisha mtu huyo atapata dhiki katika kipindi kinacho kija mbele yake na tabu huyo haisababishwai nankurogwa na mtu ni. mtihani tu kutoka kwa mungu.

#Dua yake kubwa anatakiwa mtu afanye  isighfar nyingi (yaani afanye uradi wa kusema #Astagh-firu llah) kwa wingi sana.

2-mtu kuota ana kimbizwa na watu asio wajua wakiwa na vitu vyenye ncha kali.
:-mtu huyu ni ishara ya kufanyiwa uwadui wa iukusudiwa na watu.

#Dua yake asome sana suuratil falaqi ama suuratil tawba.

3-#mtu kuota analia usingizini bila ya sababu.

:-Ni ishara ya mtu kusibiwa majinni ya kukumba sehemu za maji ama katika sehemu za miti mikubwa wamemkumba bahati mbaya.

#Dua yake asome suuratil haashir na suuratil Rrahman.

4-#Kuota unakula nyama mara kwa mara.
:-Ni ishara ya mtu kwamba anafatwa na washirikina na wanga 
wanga hao wananguvu na wanaweza kumtoa na kumchezea mda wowote  mahala popote ni mtu ambae wanahitaji kumuingiza  uchawini.

#Dua yake asome suurat raadi na suurat yaasin.

5-#Kuota unasombwa  na maji ama lutumbikia ndani ya maji.

:-ni ishara ya kuharibikiwa mambo ya kimaisha na mipango ya kimaendeleo. sababu yake huwa ni mtu kutawaliwa na majinni wachafu mwilini mwake ndio wanao mtia nuksi na kiharibu harakati zake.

#Dua yale asome sura hizi suurat dhaariyati,suurat almutwafifiyna.suurat alburuuji,suurati twaarik,suurat shamsi,tiyni,suurat waal aswir.

6-#kuota kufunga ndoa kwa mtu ambaye hayupo katika  kipindi cha kukaribia kifunga ndoa mara kwa mara.
:-Ishara ya mtu kuandamwa nanmajinni mahaba ambao wamesha jidhatiti vya kutoshakwa mtu huyo.

#Dua yake asomewe suurat yaasin a suuratil jinni.

7-#kuota unaokota pesa za coin basi ni ishara ya kufarijika katika kipindi kifupi na kupata taarifa nyingi za bahati.

8-#Kuota unasafisha kinyesi(mavi)

:-Ni ishara ya kupata fedha kwa njia usio itarajia na kupata faraja kwa mtu usie mtegemea ulie kuwa hujuani nae.
#Dua yake soma suuratil waagiya.

+255685566362

+255717108210

9-#mwana ume kuota anachezea uchi wa mwanamke alie kuwa mkubwa sio mara kwa mara.

:-ni ishara ya kupata faraja na fedha na kupata mali ambayo itakuwa ina athari ya kudumu.

#Dua yake asome suurat nash-raha.

10-#mwanaume kumuingilia kinyume na maumbile mwanaume mwenzie.

:-ni ishara ya kupatwa nanmajonzi makubwa  na masikitiko pamoja na kupoteza mali kiasi kikubwa.

#Dua yake asome sana LAAILAAHA ILLA LLAHU.

11-#Kuota mtu alie kufa amekufa watu wanafanya maamdalizi ya kumzika ilhali alisha kufaga mda mrefu.

:-Ni ishara ya kupata faraja na kufungua biashara mpya na kupata kazi nyingine pia kupata mawazo mazuri kutoka kwa mtu mwingine.

#Dua yake asome sana jina la mungu YAA RAZZAQU.

12-#KUOTA mtu ana chapwa na bakora na marehemu lakini haimuumi anampiga kama kwa utani ama anapita mbali na yeye na anamuita haitiki.

:-Ni ishara ya mtu kutaka kuharibikiwa mambo lakini atapata msukosuko katika jambo fulani kisha atafanikiwa kwa ugumu na tabu.

#Dua yake atoe sadaka ya chakula na kusoma suuratil IKH-LASWI.

#Si busara kupenda kuhadithia ndoto zako kwa kila mtu kwani kuna watu wakizijua ndoto zako huweza kukufanyia hasada kama kuna neema ulitakiwa kuipata wakaanza kukufanyia shirki na vitimbwi ilimradi neema hiyo iharibike.

hadithia kwa watu maalumu tu na majibu yako kubakinayo mwenyewe moyoni ili kuepuka hasadi na vijicho vya mahasidi.

#hivyo ni vyema ukajua mapema ndoto yako inakuashiria ishara gani kwa kwa kujua jambo mapema huwa kujianda kiakili jinsi ya kukabiliana nalo jambo hilo.

+255685566362

watts up.

+255717108210

msolo rajabu yusufu.
https://fb.watch/cTA08SEpgK/