Saturday, May 14, 2022

NDOTO YA KUOTA SHILINGI YA ZAMANI.

#Ikitokea mtu mbaye ana dhiki kiasi amefungika shughuli zake kwa muda akaja akaota usiku anapewa pesha aina ya shilingi nyeupe ya zamani ambayo kwa muda alio kuwa nao haitumiki.

:-#basi ni ishara kuwa mtu huyo yupo njiani kupata faraja na kufungukiwa na shughuli zake muda si mrefu.
pia atapata taarifa kwa watu wake wa mbali walio kuwa wamekata ama kupoteza mawasiliano.

+255685566362

+255717108210

usradh,.          msolo rajabu yusufu.


0 comments:

Post a Comment