Saturday, May 14, 2022

Ndoto ya Tunda.

Mtu kuota anapewa tunda linalo liwa na binaadamu anapewa kwa taadhima na ustaarabu wa kibinaadamu si kwakurushiwa.

#basi ndoto hiyo ni ishara ya kwamba muotaji wa ndoto hiyo atapata faraja juu ya kipindi kigumu alicho pitia kutokana na ugumu wa kipato.

#pia ina ashiria kupata rafiki kutoka  mbali usie mtarajia ambye atakupa mipango ya kimaisha na kufaidika kupitia yeye.

#Ama kama kunakitu ulipoteza unaweza ukakiona ama kukipata kabisaa.

MUNGU NDIE MJUZI ZAIDI WA YOOTE.

+255695566362

+255717108210

MSOLO RAJABU YUSUFU.


0 comments:

Post a Comment