kwa mtu mzima alie barehe na kuanza kujitegema katika harakati za kimaisha ikitokea katika usingizi wake wa usiku wa manane anaota anafanya mazoezi ya kuweka mwali sawa iwe ni mazoezi ya ngumi ama mpira ama mazoezi yoyote lakini awe anafanya kwa hiyari yake na hapati maumivu.
basi ndoto hii ita ashiria kwamba
mtu huyo atqfungukana mambo yake na kama alikuwa mgonjwa kalazwa pasi atapona upesi na kuruhusiwa mapa
Nakama mahusiano yake yapikuwa hayaja kaa sawa basi yatakuwa sawa atatulia.
+255685566362
+255717108210.
msolo rajabu yusufu.

0 comments:
Post a Comment