#BAWASILI/MGOLO.
-#Hili ni tatizo ambalo linawapata watu wengi kila mmoja na sababu zake mbali mbali ambazo hupelekea sehemu yake ya haja kubwa kutokeza nyama na iuahindwa kupata choo kikubwa na kupatwa maumivu makali sana.
-#kwa mtu ambae anaau.buliwa na tatizo hili la mgoro atatumia dawa zifuatazo ili kuweza kuondokana na tatizo hilo.
1-#Kwanza atachukua dafu na maji yake atatumia kujipaka sehemu hiyo ya haja kubwa.
kisha ata changanya ute wa yai la kuku wa kienyeji pamoja na mafuta ya alizeti kiasi koroga vizuri ichanganyike chukua na unga wa ganda la koma manga bivu changanya tena ichanganyike vizuri.
0685566362
0717108210
Matumizi.-#Ajipake mara kwa mara mbaka atakapo kaa sawa.
2-#Ama utachukua majani ya mzalia nyuma na majani ni kivumbasi uta changanya na mizizi yake kisha utaichemsha vizuri na utatumia kunywa robo kikombe mara tatu kwa siku sambamba na kunawia sehemu husika.
Ustadh MSOLO YAJABU YUSUFU.
+255717108210
+255685566362.
0 comments:
Post a Comment