#KUZIBA MKOJO.
-#Kuna watu ambao hukumbwa na tatizo hili la kuzibwa na mkojo wengine kwa ajili ya uzee wengine upigaji wa punyeto wengine ulaji wa vyakula vya mafuta mengi na kusababisha damu kupita katika mishipa inayo stahiki na kuweza kufanya njia ya mkojo mishipa yake kuahindwa kufanya kazi na kushindwa kupitisha mkojo.
0717108210
0685566362
-#hivyo kwa mtu ambae anatatizo hilo la kuziba mkojo basi atatakiwa kuchukua Habbat saudaa ya unga ujazo wa zaidi ya robo kilo.
#matumizi:-Changanya ujazo wa vijiko viwili (2)kikubwa cha chakula cha unga wa habbat saudaa tia ndani ya glass moja ya maji ya uvuguvugu koroga vizuri kisha ongezea kijiko kimoja(1) kikubwa cha asali koroga tena kisha kunywa kwa muda wa siku tatu(3)hadi tano(5) kusiku mara mbili(×2).
ustadh,
MSOLO RAJABU YUSUFU.
+255685566362
+255717108210.
0 comments:
Post a Comment