Thursday, August 11, 2022

#VIPELE.

#MAPELE MWILINI.

-#Ikiwa ni mtoto ama mtu mzima(mkubwa) anasumbuliwa na maradhi ya kutokwa na mapele katika ngozi ya mwili basi atatakiwa kuchukua majani ya mtango kiasi cha viganja viwili twanga mbaka iwe laini kisha uikamue vizuri pasi na kuweka maji kisha yale maji utakayo yapata changanya na mafuta ya nazi na unga wa mzizi wa mkomamanga changanya ikorogege vizuru.

#matumizi.
utakuwa unatumia kupaka mwilini mara mbili kwa siku asubuhi na usiku.
kwa muda wa wiki moja.

MSOLO RAJABU YUSUFU.

+255717108210

+255685566362.

0 comments:

Post a Comment