Thursday, August 11, 2022

VIDONDA UKENI.

#VIDONDA UKENI.

-#Kwa mwanamke ambaye anatatizo la kutokwa na vidonda ukeni basi atatatika kuchukua mzizi wa mti wa mkomamanga ausage apate unga wake twanga na kungumanga upate unga laini changanya pamoja vizuri.

 #MATUMIZI.

0717108210

-#Osha vizuri nyeti yako(uke) kwa kutumia maji ya uvuguvugu  kisha kausha kwa kitambaa safi  baada ya kukauka chuku mafuta ya nazi ama nyonyo kiasi kidogo itategemea na utakayo yapata kirahiai kwa mazingira ulio kuwepo changanya na unga wa hiyo dawa yako ulio kwisha ichanganya vizuri ikoroge vizuri kisha paka huko kwa bibi usiku wakati wa kulala.
rudia zoezi hilo mbaka utakapo poa kabisaa.

MSOLO RAJABU YUSUFU.

+255717108210

+255685566362.

0 comments:

Post a Comment