#MAYUNGI YUNGI.
#Haya ni maua maarufu sana kwa watu wanao kaa ama kupitapita sehemu za mabondeni kwenye mabwawa mito hata mashamba ya mipunga.
#maua haya mbali na kuhitajiwa sana na samaki kwa ajili ya kuwakinga na jua pamoja na kutengea maeneo ya mazalia yao sisi hapa tuta yaangalia maua haya na faida zake kwa binaadamu kujitibia na kutatulia mambo mbalimbali.
tuungane pamoja tupate kuelimishana.
1-#Kufungua mwili.
kwa mtu ambaye ana sumbuliwa na nuksi na kufungika kwa mambo yake basi atachukua majani saba ya myungiyungi uta yalalia siku saba kisha uta yatoa na kuyaandike suurat naswir kila jani moja utaandika mara tatu kisha uta yaanika mbaka yakauke yaponde yawe unga laini changanya na majani ya kivumbasi tumia kuoga kwa muda wa wiki moja basi mambo yata funguka.
+255717108210
+255685566362
2-#Kuvuta majinni yako wa kichwani.
Kwa mtu ambae majinni yake yamekaa mbali ama hayana nguvu ya kumuotesha mambo basi chukua sinia kubwa weka maua ya myungiyungi weka na punje za karafuu.hiliki.ndizi mbivu vipande vya miwatende kidogo na hiliki. weka chupa ya marash rose usiku wakati wa kulala utawasha udi na kuwaita hao majinni wako na kuwaeleza utakalo na wao watakuja na kukuhabarisha utakayo.
3-#Kuvuta upendo kwa watu.
Ikiwa mtu anataka kuwa na bahati na kupendwa na watu basi ata chukua maua ya waridi.maua ya myungiyungi na shajarat maryamu.utayachanganya pamoja kisha suurat nuur yote mara moja changanya vyote kwa pamoja kila siku ukitaka kuoga chemsha mchai chai changanya ndio utumia kuoga kwa wiki moja asubuhi na jioni kipindi jua lina zama maajabu yake utayaona.
Imetolewa na ustadh.
MSOLO RAJABU YUSUFU.
Watts up +255717108210
ama +255685566362
0 comments:
Post a Comment