Thursday, August 11, 2022

DAWA ZA MASHEYTWANI.

#DAWA ZA KUFUKUZA MASHEYTWANI WA KIJINNI.

#Watu wengi wamekuwa wakisumbuliwa na matatizo mbali mbali ambayo sababu yake ni kusibiwa na masheytwani wa kijinni hii hapa ni tiba kwa mtu ambaye anateseka na maradhi yote ya kisheytwani wa kijinni kwanza utatakiwa kuandaa dawa hizi kabla ya kuanza kufanya dua kwa mgonjwa.

+255717108210

+255685566362

1-#Udi karaha.      2-#Makula azraki.  3-#Pilipili Manga.   4-#Bas bas jauza.   5-#Sufa.     6-#Tangawizi kavu.      7-#Kamun Aswadi.   8-#Kamun Abyadhi.      9-#Haltiti kidogo.   10-#Giligilani.    11-#Harmali.       12-#Habbad saudaa.     13-#khardali.          14-#hiliki.
Dawa zote hizi kumi na nne(14) zichanganywe vizuri kisha zikaangwe katika moto hafifu kwa kutumia chungu baada ya hapo utaitunza vizuri.

#HATUA YA PILI.

-#Andika suuratil faatiha ×3.       Ikhlaswi ×3.     suuratil falaqi ×3.     suurati Nnasi ×3.      Aayatul qursiyu ×3.

utaiyayusha kwa maji ya ndimu na kuingeza maji ya kawaida kisha utachukua dawa yako hapo juu hiyo ya mchanganyiko wa dawa (14) utaiweka kidogo kwenye hayo maji kisha muweke mgonjwa chini anza kumsomea sura hizo hizo ulizo ziandika kila moja mara sabini na moja (71) huku ukiwa unamwagia hayo maji kidogo kidogo si mbaka aloe hapana. 
utaufanya utaratibu huo kwa siku tatu hadi saba dawa hiyo ulio itengeneza atatumia kunwlywa kwenye uji kutwa mara tatu pamoja na kujifusha usiku tu. 
Basi mgonjwa atapata shifaa na kupona kabisaaa kwa uwezo wako mwemyeezimungu.

ustadh,

 MSOLO RAJABU YUSUFU.

+255717108210

+255685566362


0 comments:

Post a Comment