Thursday, August 11, 2022

DAWA NA TIBA.-1

#JITIBU NYUMBANI-4

-#Huu ni muendelezo wa darasa zetu kupitia ukumbi wetu huu wa kujuzana faida na dawa kwa binaadamu kutumia vitu mbalimbali hii ni hatua ya nne twende sote sambamba katika kujifunza.

Kupunguza mafuta latika moyo na kusafisha miahipa ya moyo.
-#tafuta majani ya mpapai yakaushe kisha twanga unga wake changanya na unga wa habbat soda kidogo mchanganyo uwe majani ya mpapai yawe marambili ya unga wa habbat soda tumia asubuhi na uaiku katika maji ya uvuguvugu ama maziwa fresh tumia ndani ya siku 21 hadi 42.

2-#maumivu ya kichwa cha mpele chukuwa kikonyo cha boga kikaushe pata unga kisha changanga na mafuta ya zaituni upate uji mzito kidogo pakaa kwenye muishilizo wa nywele kuanzia usawa wa sikio hadi sikio bila kufila kisogoni kisha lala chali kwa kiasi cha dakika 25 hadi 40 baada ya hapo nyanyuka unaweza kufanya harakati zako zingine.

3-#kuongeza uimara wa mishipa ya uume(dhakari).
tafuta mizizi ya mpapai dume changanya na mizizi ya mpera mwekundu na mizizi ya mjafari.
#chemsha pamoja mbaka ichemke sana kisha ipua chuja kwa chujio la chai matumizi nusukikombe cha chai asubuhi na jioni kwa siku 9 hadi 14.

4-#MGORO.
-#kwa mtuwenye kutokwa na kinyama katika njia ya haja kubwa basi atatakiwa kuchukua mizizi ya mwangajini kisha iloweke pamoja na mizizi ya mguluka kwa takribani masaa sita (6) hadi (10) kabla ya kutumia ikisha kuwa tayari mgonjwa atatumia kunywa nusu kikombe kutwa mara tatu kwa muda wa siku tano(5) hadi (7).

5-#KUPANDA MAZAO.
-#Chukua kasela ya bara changanya katika mbegu zako unazo taka kupanda kisha kapande siku ya alhamisi asubuhi kabla jua halija chomoza.

6-#maumivu ya viungo.
saga vitunguuthaumu iwe rojo nzito changanya na asali ujaso sawa kisha tia unga wa a-#habbat soda.2-#koto. 3-#uwatu.4-#hulba.
5-#habbat sufa.6-#unga wa abdalasini.
7-#kamuni as-wad.
changanyo vyoote hivyo vizuri mgonjwa atakuwa anakula vijiko kikubwa vitatu vya chakula kila baada ya kula chakula.
siku saba hadi siku 11.

Kwa maswali na maoni zaidi 

wasiliana na ustaadh MSOLO RAJABU YUSUFU.

Watte up +255717108210

+255685566362.

0 comments:

Post a Comment