#HEDHI ISIYO TOKA VIZURI.
-#Kwa manamke ambaye damu yake ya hedhi haitoki vizuri na hata kupelekea kinena chake kuuma basi mwanamke huyu anaweza kujisaidia kijitibia kwa kufanya dawa hii.
1-#Ata chukua ufuta kilo tatu na robo(¾) kwa muda usio pungua masaa sita kisha utauchuja maji yake uyahifadhi vizuri kisha uwe unakunywa ujazo wa kikombe cha kawaha =na robo kikombe cha chai kutwa mara mbili yaani asubuhi na usiku.
+255717108210
+255685566362
Ama anaweza kuchukua dawa nyingine ambayo ni hii.
2-#Chukua asali safi changanya na mafuta ya oto changanya pamoja kwa ujazo sawa kisha iache kwwnye moto ichemke sana baada ya kihakiki imechemka sana iipue uhifadhi dawa yako matumizi utatakiwa kunywa mara mbili kwa siku ujazo wa kikombe kidogo cha kahawa lakini #sharti unatakiwa kuinywa ukiwa umeaimama wima kisha baada ya kunywa tu ulale kifudifudi kwa muda wa dakika 30 hadi 45.
utaitumia kwa siku tano hadi wiki moja.
USTADH,
MSOLO RAJABU YUSUFU.
+255717108210
+255685566362
0 comments:
Post a Comment