Friday, April 29, 2022

#CHUNGU.

#SIRI YA CHUNGU.

#Chungu ni chombo cha matumizi ya nyumbani kinacho tengenezwa kiasili kwa   kutumia udongo ambacho hutumika sana maeneo ya vijijini ingawaje hata mjini pia hutumika haswa  kwa kupikia vyakula mbali mbali.

#Chungu ni pia hujulikana Kama ni chombo cha kiutamaduni wa watu tofauti ingawaje duniani chungu hujilikana sana kuwa asiliyake haswa ni chombo cha tamaduli ya Bara la Afrika.

#Lakini chungu hutumiwa hata mataifa mengine katika mabara nje na Afrika miongoni mwa nchi ambazo hutumia vyungu ni kama #japan  #India  #China  #Iraq.

#Mataifa kama hayo ya nje ya Afrika hutumia sana katika mapambo na thamani za ndani wakiwa wamevi nakshi/kuvichora kwa urembo wa mapambo na rangi tofauti tofauti kiasi kwamba kwa haraka unaweza usijue kama ni kitu cha udongo.



#Lakini hapa leo tutazungumzia chungu cha kiafrika ambacho huwa hakina marembo na nakshi za kuvutia ambacho kimetengenezwa tu kawaida kwa matumizi ya nyumbani kwa jamii ya watu wa Afrika.

#Hiki ni chombo kizuri kwa matumizi ya nyumbani mbali na kuwa ni pambo la kitamaduni.

      Lakini pia chungu ni chombo #HATARI sana kwa mwanaadamu na jamii yake kwa ujumla.

#TAFADHALI USIFANYE KWA MAJARIBIO.

#chungu pia ni chombo chenye kazi nyingi nje na matumizi ya nyumbani chungu hutumika pia hasa katika kufanyia #maafa na #viapo mbali mbali.
Leo hapa tutazungumzia kwa uchache kidogo hatari Inazo weza kwanywa kwa kutumia chungu.

#Chungu hutokana na udongo samba mba na asili ya sisi binaadamu wote asili yetu ni udongo.

                  #HATARI ZA CHUNGU.

1-#KUFARAKANISHA.
Chungu kinapo chinjiwa damu ya kuku kitatarange(mwenye manyoya yalio simama) kisha kika kaangiwa mahindi mekundu jikoni kwenye moto mkali kwa manuwizi ya kufarakanisha  kisha chungu kile kiki pasuliwa hakika watu walio kusudiwa kufarakanishwa watafarakana.

Ila iwe ni siku maalumu ya saa maalumu kwa mkuaudiwa mmoja kuwa katika nuksi yake.

2-#KUFANYIA KIAPO/KUAPIZIA JAMBO.
 
#hapa ndio hatari zaidi #Tafadhali msifanye kwa majaribu hakika ni hatari usifanye majaribio.

+255685566362

+255717108210

#Mtu anapo kuwa anafanya jambo la kuchukua kitu cha mtu bila ya ridhaa yake ama #Anaiba shamba la mtu.   #Ama ana tembea na #mume/mke wa mtu.   #mtu anamfanyia uchawi/anaroga mtu. Kisha mwenyewe akabaini jambo hilo na akakufata kukwambia uwache swala hilo mafa tatu na yule mtuhumiwa asiache jambo hilo.

#Basi yule mwenye kufanyiwa karaha hiyo atachukua #CHUNGU ataweka maji usiku wa manane siku ya mwezi mpevu ama mchana jua likiwa angavu.

#Ata simama uwanjani na kukuaudia anacho kitaka kukifanya mbaka ukomo wake kisha atakipasua hicko chungu na ataviokota vile vipande na kuondoka navyo porini.

+255717108210

+255685566362

#Hakika mtu huyo itaanza kudhulika familia yake  kwa mnuiaji alivyo nuia madhara hayo yanaweza kumuanza mwenyewe mlengwa ama yakaanza kuwapata nduguze na kumalizia yeye mwenyewe mwishoni.

#msifanye ila una hakika kama ni hakika unafanyiwa.

                     #LAKINI
Iwapo mtu amefanyiwa jambo la kusingiziwa kama vile.

(1)#Anaambiwa ameiba hali ya kuwa hajiba.

(2)#Mtu anatuhumiwa ni mchawi hali ya kuwa si Mchawi.

(3)#mtu anatuhumiwa uzinifu/kufanya mapenzi na mke/mume wa mtu na hakika hafanyi kitendo hicho.

+255717108210

+255685566362

#Basi anaweza kutumia chungu na kuleta mafa makubwa kwa mtu anae msingizia na hata katika jamii nzima ya mtu huyo anae msingizia uongo/uzushi huo.

Basi yule muongo kama yeye atafanya itamrudia mwenyewe ubaya atakao unuia na familia yake atakuwa ameiponza pia.
 
Ama ukafanya kwa kumdhania tu mtu na huna uhakika basi janga lako pia litakurudia mwenyewe na kuanza kwa ia yako mwenyewe kwanza       

#Kama familia itakuwa imepatwa na jambo hilo na mwenyewe msababishaji akawa ametangulia yeye kufa basi kuitibu kwake  kwa walio bakia inabidi watafute kondoo mweusi na moja ya kipande cha chungu kilicho pasuliwa.

                   Kwa maoni na ushauri.

#Watts up +

                +255717108210

0 comments:

Post a Comment