4-#NYOTA YA KAA.
#NYOTA hii hutawala siku ya jumaa tatu jinsia yake ni yakike tabia ya maumbile yake ni maji ya bahari tulivu siku yake mbaya ni JUMAA tano wajihi zake ni zuhra na utwaridi.
#Sifa za watu wenye nyota hii ni.
1-#Ni watu wenye kupenda masihara ya wastani.
2-#Ni watu wenye kupenda upekee.
3-#Ni watu wenye uwezo wa kujifunza na kujua mambo mengi.
4-#Ni watu ambao kwa asilimia 90℅ hufanana na mama zao.
5-#Ni watu wenye hisia Kali za kuweza kutambua mambo magumu na kupata suluhu kwa urahisi.
6-#Ni watu wenye hutawaliwa na ndoto za kweli.
#Kikubwa zaidi ni watu wenye kuweza kupenda mtu ghafla Paso na kujua kitu alicho mpendea.
+255717108210
+255685566362
0 comments:
Post a Comment