Friday, April 29, 2022

#KONDOO.


#Kondoo ni jamii ya mnyama anae fugwa kama aina nyingi ya wanyama wafugwao majumbani.

#kondoo ni mnyama anaejulikana duniani kote kwa sifa zake na uhitaji wake kwa watu kuanzia nyama yale ngozi yake manyoya yake na hata kwato zake.
#Kondoo wapo wenye manyoya mengi na wengine wasio kuwa na manyoya mengi lakini wote hawa hufanana kimatumiza kwa asilimia kubwa ukiachana ile ya baadhi yao kutoa sufi na wwngine wao kutoweza kutoa manyoya mengi ambayo ndio huzalisha sufi yenyewe ambayo hutumika katika utengenezaji wa bidha mbalimbali ikiwemo nguo kwa ajili ya matumizi ya binaadamu.

+255717108210
+255685566362

#Wapo aina nyingi za kondoo ambazo lakini aina nne ndio hujulikana zaidi duniani kote .
Kondoo nyama yake inajulukana kwa kuwa namba mafuta mengi unawezekana akawa ndio mnyama mwenye mafuta mengi katika wanyama wanaoliwa wanaofugwa na biaadamu ukiachana na huyu bwana anaejulikana mwa majina mengi kama vile (kitimoto,Monika,mkubwa wa meza).
Mnyama huyu kondoo ni mnyama ambae baada tu yakutumia nyama yake basi pia vinavyo bakia kwake pia ni mali kwa wanaadamu kwa ajili ya kuzalishia mahitaji ya bidhaa mbalimbali kama vile. 
      #Ngozi yake.
Ngozi ya kondoo hutumika katika utengenezaji wa vitu  kama vile mabegi ngozi za viatu mikanda na hata mjeredi.
Manyota yake hutumika kwa kutengenezea nguo na vitambaa vya nakshi mbalimbali.
Kwato zake pia hutumika kwa kutengenezea gundi na hata sori za viatu na maurembo ya mikononi kama bangili hereni na pete.
Mavi yake pia ni moja ya mbolea nzuri kwa mkulima wa mazao mbalimbali ikichanganywa kitaalamu na vitu vingine.
 +255685566362
+255717108210

#Kondoo katika tiba ya kiroho.

Tunapozungumzia tiba ya kiroho hapa tuna kusudia moja kwa moja katika upande wa maswala ya kijinni, kuuwa uchawi, na upambanaji wa kuuondoa uadui katika mwili, na hata katika shughuli mbalimbali za maisha ya mwanaadamu yanayo mzunguuka kama vile upambaniaji wa  cheo kazini ama hata nafasi fulani katika uongozi.

1-#Kuvunja uadua.
Kondoo hutumika katika kuvunja uadui wa mtu unao muandama endapo mtu atakuwa na uadui wa kishirikina na kichawi basi kondoo husika zaidi katika kupambana kuondoa uadui huo ambapo atahitajika.

1-#kondoo wa rangi nyes 1, 
2-#chungu cheusi.
3-#chumvi ya kuchimba kilogram 4 (isiokuwa ya bahari). Nazi 14 buni kilo moja, 
4-#kitambaa cheusi miter 4.
5-#kigoda cha miguu mitatu 1,
6-#ungo mweusi 1.majivu na unga wa mahindi nusu kilo. 
#Visomo vyake ni vya muitwilati sihri.kisha baada ya kumalaiza dua yake vitu vyake hufukiwa mahala ambapo mnyama pori hawezi kuja kufukua.

+255685566362
+255717108210

2-#kupiga/kuwaondoa maadui/wapinzani.
Katika hali ya upinzani mahili mfano mtu anagombea cheo mahali ama nafasi yoyote yenye kuwaniwa na watu wengi basi itahitajika vipatikane.
1-#kondoo mwenye rangi nyekundu 1,
2-#vitambaa vya rangi tatu cheusi,cheupe na chekundu @mita 3, na vya nusu vitatu 3 pekeyake, 
4-#msumari wa jahazi 1,vyungu vyekundu kipya 2,
5-#chano (vyakula vya majinni)kilicho timia 1.
#Kisomo chake ni cha harbul a'adaai.
 Baada ya hapo kisimo chake kukamilika utatengenezwa mtindi (itachukuliwa damu ya yule kondoo)na chono vitawekwa chini ya mti mkubwa.

#Kondoo katika mpenzi chukua ngozi ya paji la uso ya kondoo alie chinjwa kisheria (kihalali) andika herufi hizi. (    ب د و ح  ) unaziandika mara 25
Kisha iweke sehemu yanapo pita maji juu yake weka jiwe zito kwa manuizo maalum hakika atakutii daima.
Ama 
#Chukua chakula alicho bakiza mtu ama mpenzi wako kisha kikaushe kisage upate unga wake uhifandi changanya na ngozi ya kichwa cha kondoo atakapo kuja tena ukimtengea chakula utamtilia uleunga kidoogo kwechakula ama kwenye mchuzi akila tu basi hukupenda zaidi iwe ni boss ama yoyote hule hatokuacha.

+255685566362

+255717108210


0 comments:

Post a Comment