2-#NYOTA YA NG'OMBE.
#Nyota hii hutawala siku ya ijumaa mchana jinsia YAKE ni yakike Tabia ya maumbile yake ni udongo wajihi zake ni utwaridi,kamari na zohali.
+255685566372
+255717108210
#hutawaliwa pia na watu wenye majina yanayo anzia B,N,Z. Sikubyao mbaya ni alhamisi.
#watu wenye nyota hii sifa zao ni.
1-#hupenda mapishi.
2-#Hupenda kujifunza mambo ya madawa.
3-#Ni watu kwenye huruma .
4-#Ni watu wacheshi.
5-#kikubwa zaidi kwao ni watu watoaji wasio jali kupungukiwa na kitu kwa kusaidia wengine.
+255685566362
+255717108210
0 comments:
Post a Comment