9-#NYOTA YA MSHALE.
#Nyota hii hutawala siku ya alhamisi jinsia yake ni yakiume tabia ya maumbile yake ni moto wenye kutembea.
#siku yake mbaya ni jumaa nne na jumaa tatu.
+255717108210
#Nyata hii pia hutawaliwa na watu wenye majina yanayo anzia na herufi. U na I.
#Maumbile ya watu wenye nyota hii kimwili kwa wana wake huwa ni warefu wa wastani sauti kari nyembamba, macho mazuri,
#Kwa wana ume huwa ni wembamba na na umbo dogo la wastani.
#Sifa za watu wa nyota hii ni.
1-#Ni watu wenye bahati yapesa.
2-#Ni watu waongo kiasi.
3-#Ni watu wenye ushawishi Mkubwa wa maneno.
4-#Ni watu waongeaji hapana ugeni.
+255717108210
+255685566362
+255717108210
0 comments:
Post a Comment