#WADHFA NI NINI?
#Wadhfa ni hali ya mtu kuwa na nafasi fulani katika mahala pakazi ama uongozi katika mahala fulani.
#watu wengi wamekuwa wakihangaika katika kutafuta vyeo ama nafasi za juu katika maeneo mbali mbali ya shughuli zao pasi na matokeo mazuri.
Pasi na kujua ni nini kifanyike ili waweze kufanikiwa kupata nyazifa hizo.
#LAKINI JE MTU ANAWEZA KUPATA NYAZIFA?
#Ndio:-ndio mtu anaweza kupata nyazifa mahala mahala anapo taka na hata asipo tarajia.
Wengi wamekuwa wakifanyiwa mambo mengi ,dawa nyingi na hata visomo vingi lakini kutopata matokeo mazuri pasi na kujua ni kwanini inakuwa hivyo.
Wengi wamekuwa wakichanganya kati ya mtu kufunguliwa na mtu kupandishwa cheo/wadhifa hivi ni vitu viwili tofauti.
#kwani kila kimoja na kazi yake ingawaje waganga wengi pia huchanganya na kusema wana wapandisha watu nyota hali yakuwa kumbe wana wafungua tu na kudhani wamemaliza kazi.
+255685566362
+255717108210
#Kitaalamu mtu mwenye kufunguliwa huwa hufanyiwa kazi yake kwa siku yake ama kwa nyota ya mapato yake ama malizake.
#Lakini tunapo zungumzia swala la mtu kupandishwa cheo ama nyota au wadhifa hapa ndipo elimu ilipo jificha na ndipo wanapo hangaikia watu wengi.
Kitaalamu swala la kupandishwa nyota /cheo na wadhifa hapa Hatu angalii siku ya nyota ya mtu inapo tawala katika siku yake wala nyota ya mali yake.
Kwani nyita ya cheo/wadhifa ama ni nyota kubwa kuliko hizo za mali na nyota za nafsi ambazo ni zautawala wa siku kwa kila mtu.
#Tunapo taka kupandisha mtu nyota IMA hadhi ama cheo ni lazima kwanza kujua masaa manner(4) muhimu ambayo ndio yana husika na mambo yote katika maswala mazima ya upandishaji mtu nyota ama cheo ambazo miongoni mwazo huitwa saa-atul ijaba.
Nasiku zake katika wiki nzima ni tatu (3) peke yake ndizo zenye kuhusika na kupandishwa nyota cheo na wadhifa ama hadhi.
Yatakapo zingatiwa mambo hayo ikiwemo na mengine basi mtu ataona mabadiliko baina take yeye na watu wengine wa kawaida.
Kwani hafanani mtu alie fubguliwa na yule ambae amefanyiwa kazi ya kupandishwa nyota /hadhi kwani hiyo ni stage ya juu katika maswala ya nyota na wenye kutafuta vyeo.
+255685566362
+255717108210
#Hapo ndipo utakuta mtu anakuja angali mgeni katika ofisi ama sehemu Fulani lakini hupewa usimamizi wa ngazi za juu hata kama asiwe ni wa muda mrefu mahali hapo ama ni mzoefu wa shughuli inayo fanyika mahali husika.
Swala hili ni la kitaalamu zaidi na lina hitaji elimu ya kukaa chini na si ya kuitoa google ya Ku copy and pest.
Kwani ni lazima uwe ni mwenye elimu na si kukurupuka.
Na nilazima kuchunga mazingira yake kwani kuna ishara ambazo zikiwepo kabla hata ya kuanza kazi hiyo basi siku hiyo haifai tena kufanya kazi hiyo ni lazima kuzijua ishara hizo kwanza kabla ya kufanya jambo hilo ikiwemo
1)#kuchunga idadi ya watu.
2)#Aina ya watu wanao takiwa kuwepo ikiwemo mama Mzazi na so watoto yatima kama wengi ambavyo hufanya.
3)#vifaa kamili.
4)#hatua zake kuu tank(5) zifatwe.
5)#mchanga.
#Ni lazima kuchunga nyakati pamoja na ishara zisizo paswa kuwepo wakati wa kufanya shughuli hio.
Kwani siku hizo ni siku zenye sili kubwa pamoja na masaa yake kwa kumtumia malaika wake anae kuwa ni maalum kwa kufanya na kusimamia kazi hiyo.
+255685566362
+255717108210
0 comments:
Post a Comment