5- #NYOTA YA SIMBA.
#Nyota hii hutawala siku ya JUMAA pili jinsia yake ni yakiume maumbile ya Tania ya nyota hii ni moto laini siku yake mbaya ni JUMAA tatu.
#Nyota hii pia hutawaliwa na watu wenye majina yanayo anzia na herufi E na Q.
+255685566362
+255717108210
1-A. #Kwa wanume wenye nyota hii umbile lao kimwili huwa ni tumbo kubwa na mwenyewe misuli na kifua kipana sauti nzito ya kujiamini.
B-#Kwa wana wake wa nyota hii hua na umbo nzuri rangi nzuri na nyororo sauti lakini ya kuvutia.
+255685566362
+255717108210
#Huyo maana mke uzuri wake umekalia zaidi kwenye macho huwa na macho ya kurembuka sambamba na uzuri maeneo ya kiuno.
#TABIA ZA WATU WENYE NYOTA HII NI.
1-#NI watu wasio jali kupoteza kitu.
2-#Ni watu wanaopenda kuwa huru .
3-#Ni watu wasio penda kufatiliwa katika maamuzi yao.
4-#Kikubwa zaidi ni watu ambayo wanaaminiwa sana na watu wa jinsia ya kiume.
+255717108210
+255685566362
0 comments:
Post a Comment