#MTOTO KUSHTUKA USIKU.
#Mungu ametuumbia mchana ni maalumu kwa kazi za utafutaji na mambo mengine ya kibinadamu kadhaalika usiku ni kwa ajili ya ibada maalumu kwa wenye shida na mambo maalumu ambayo yanawakabili watu napia akaufanya ndio mda mpana kwa watu kupumzisha miili na akili kuweza kuupa mwili nguvu ili uweze kupata nguvu za kiasili ili uweze kuendelea na maisha.
+255685566362
+255717108210
#Kwa watu wazima muda unao kadiriwa kulala na kupumzika vyema ni masaa sit(6) hadi manane(8) hapo mtumzima hata awe amechoka kwa kiasi kikubwa atakapo pata kupumzika mda huo anakuwa amesha rudisha nguvu katika mwili wake na kuweza kuendelea na shughuli zake kwa ufaniasi.
#Lakini kwa watoto wadogo wenyewe ni fotauti sana usingizi wao na mtu mzim.mfano.:-#mtoto mdogo hawezi kukaa zaidi ya masaa manne (4) hadi matano (5) bila kulala lakini mtu mzima ni kawaida kukaa masaa kumi a tano (15) hadi kumi na saba (17) pasi na uzingizi wala kulala.
#Mtoto mdogo asie kuwa na shida kawaida mchana hulala kila baada ya masaa matau hadi manne ( 3-4 ) na usiku hulala sana.
Nahii humsaidia yeye katika kumjenga kiakili na kuanza kuweka kumbu kumbu na kutengemaa kwa afya yake ya mwili.
Kuna watoto wengi haswa nyakati za usiku wakati ambao ndio muhimu zaidi kwa wao kupumzika wanakuwa hawapati usingizi na kuwa wanalia mda mrefu a matokeo yake watoto hawa hukumbwa na maradhi ambayo hudhoofisha afya zao za mwili na hata wengini huathirika kiakili na kuwa na upungufu wa akili (vilaza) nakuwapelekea mbaka ukubwani athari hizo za kiakili na kimaumbile (kimwili).
+255685566362
+255717108210
#Watoto wengi tatizo hilli la kushtuka usiku huwakumba sana usiku kuliko nyakati za mchana kwa sababu hisia za mtoto uziku ndio huwa na nguvu zaidi kuliko usiku ingawaje kitaalamu mchana mtoto mishipa yake ya fahamu inakuwa wazi kupokea kujifunza mambo tofauti takribani mishipa milioni mbili(2000000) ya fahamu huwa ipo inafanya kazi ya kupokea mambo mapya mbalimbali ya duniani.
#Ndipo anapo jifunza.
1-#kucheka.
2-#kupiga.
3-#kelele.
4-#kuweza ujifunza kumkariri mtu.
#na hata tashira ya vitu mbalimbali.usiku huwa mishipa yake inapumzika.
#kwanini mtoto usiku hushtuka??.
#Watoto wengi usiku hushtuka kwakuwa usiku hisia zao hua zinanguvu kubwa ya kuona kila kitu waziwazi katika asili yake kama vile aonavyo kuku ama punda na mbwa.
#Hivyo humpelekea kuona vitu vya kutisha kama vile.
1-#majjini.
2-#wachawi.
3-#malaika. ambavyo humkera na kumtisha na kumfanya apige kelele pindi vjtakavyk kuwa vinamsogelea karibu.
+255685566362
+255717108210
#Lakini wengine ni kutokana na wazazi wao kuwa na makorokoro mauchafu mbalimbali endapo mzazi akiwa na.
1-#aina flani ya majjini.
2-#ama uchawi.
3-#au chale za kichawi.
4-#ama mzazi ni mtu wa kuwangishwa pasi na yeye mwenyewe kujua.
5-#ama nyumba kuwa inasibiwa na majjini au kupitiwa na wachawi kwa kukosa kuzindikwa nyumba ndio hupelekea pia mtoto kupata mishtuko ambayo humpelekea kupiga makelele na kukosa usingizi.
#Vipi utajua na kumsaidia mtoto anae sumbuliwa usiku??.
#Endapo mtoto usiku anashtuka na kupiga makelele basi chukuwa nguo nyesi ama mtandio mweusi ama kitambaa kisafi chochote kikubwa a umfunike mtoto kuanzia miguuni mbaka shingini kisha mbembeleze alale.
1-#ukiona hataki kunyamaza na hataki kukuagalia usoni jua wewe mzazi ndie una tatizo linalo msababishia yeye kushtuka.
2-#ukiona ananyamaza kidogo na kushtuka tena kwa nguvu jua kwamba unachukuliwa kichawi.
3-#ukiona kalala mda mrefu na husikii vituko hukonje jua mji huo unapitiwa na wachawi na hauja zindikwa (hauna kinga).
4-#akilalambaka asubuhi jua kuna jinni anataka kumuingia mtoto.
#Kama tatizo ni mtoto mwenyewe yaani mama hana tatizo basi unaweza kumsaidia kwa vitu hivi.
#Chukua maji na uya somee ×٧ايةاكرسي
× ٧سورةالفاتح
سورةاخلاص٧
سوةالفلق ×٧
سوةالناس×٧
وسيلةشفغ×٣
صلت عل نبي×١٠٠
Ama unaweza kuandika surahizo na kuziyayusha na kumuogeshea mtoto jioni na maji ukamwaga pasipo kuwa pana najisi ama mchanga nyiko wa maji machafu.
+255685566362
+255717108210
#Ikiwa mji ni tatizo unaweza kuchukua pakanga pachori.miatu saila.vitunguu thaumu.na pilipili hoho na ndulele na kuchanganya pamoja na kuzichoma kwenge moto wa mkaa mkali.
#Na endapo shida ni mama basi tafuta matibabu kamili kwani huweza kumpelekea mtoto kupata kilema cha akili na ukawa ni mtihani mkubwa kwake.
#Kwa maoni na ushauri
+255685566362
ama
+255717108210.
0 comments:
Post a Comment