Saturday, April 30, 2022

#KAMBA.

#KAMBA.
kwa kiasi kikubwa mno hakuna asie ijua kamba kwa mazingira yoyote mtu anayo ishi lazima ataijua kamba na mamba ingawaje zipo kamba zitokanazo na aina tofauti tofauti za material yake lakini zote kwa zote matumizi yake ya kawaida hujulikana ni kwaajili ya kufungia vitu mbali mbali.
pamoja na hayo yote kamba kwa matumizi yake ya kawaida lakini hapa sisi tuta jaribu kuangalia kamba katika upande wa utendaji kazi katika swalazima la maradhi ya kiroho.

#kwani sisi hapa huu ukurasa wetu hau husiani na maswala ya kisiasa wa mijadala ya kidini wala maswala mazima ya michezo na burudani kwa ujumla wake bali hapa tuna elimishana maswala ya tiba za maradhi mbali mbali haswa ya kiroho kama vile maswala ya yasababishwayo na majinni ama wachawi.
leo pua tuna pata nafasi ya matumizi ya aina mbali mbali za kamba kwa upande wa maswala mazima ya maradhi na matatizo ya kiroho ni vipi kamba ilivyo na umuhimu kwa binaadamu.

1-#Kumdhibiti mpenzi.
ikktokea mtu mpenzi wake ama mke wake si mtu wa kutulia katika ndoa yake bara na mbana huyu mara yule basi anaweza kufanya kama iguatavyo na akatulia.
chukua kamba ya mfyambo mbichi kisha soma suurat muzamilu (المزمل) mara saba kila unapo maliza mara moja unamnuia mtu wako kumfunga matamanio kwa watu wengie na akutii wewe tu na kukusikiliza mbaka utakapo kamilisha yote saba baada ya kumaliza utasoma tawasili ya طيبت لا اسماء mara moja.ukisha maliza ile kamba utaizika kizingitini basi nae atatulia.

+255685566362

+255717108210

2-#Kutoa nuksi na vifungo vya kichawi.
Endapo mtu alifanyiwa vifungo na wachiwi na akafungika mambo yake basi cha kufanya mtu yule itabidi apate kamba ya mtu unaitwa machilika.
kisha ataifunga mafundo (14) kisha atakaa juu ya kitambaa cheusi na kumshika kuku mwekundu ama mwekundu akie changanyika na rangi nyeusi na wakati huo anasomewa suurat (يس) mara 14 kisha kila atakapo fika kwenye tamko(مبين) utanuia kufungua hasada hizo na ubaya ulio fanyiwa kisha utalifungua fundo moja mbaka utakapo maliza yote kumi na nne (14) utaitupa kwa nyuma kisha baada ya kumaliza ataiokota mtu mwingine akaitupe njia panda ama jalalani kwa niaba yako.
baada ya hapo utaona mabadili
mabadiliko na wepesi kupatikana.

3-#Kurudisha nyota na bahati.
kuna watu zamani walikuwa na bahati lakini ghafla kwa hila na hasada za watu wameamua kuwafanyia hasada na atokeo yake watu hawa mambo yao huvurugika na kila wapangalo huingia kiza na mitihani pasi na kutekelezeka huishia ahadi tu kia siku kwa mtu mwenye kadhia kama hii basi.
atafute kamba za kuokota kumi na mbili (12) ambazo imefungwa mafundo na mtu asie mjua kisha atachukua dawa zangu ambazo ni mizizi ya 
1-#mfambo.
2-#punganyuni.
3-#palibe kantu na 
4-#mnyaka sozi.kisha atazitia dawa kwenye sufuria jioni asubuhi ataikoga dawa ile kwa mikono huku ukigeukia uande linapo chomozea jua zile kamba utawapa watoto utawaomba wakufungulie baada ya hapo utakwenda kuzichoma moto na mambo yatagunguka.

4-#Kumfunga adui yako.
ikiwa mtu anaandamwa na uadui wa mtu na anataka mtu yule asimdhuru basi tafuta kamba ya kitambaa cheusi cha kuokota ambacho humjui alie tupa utaandika shkeri ya inkisi mara tisa kwenye karatasi pamoja na majina ya maadui zako kisha funga kitambaa kile mafundo saba huku unanuia wakati huo unasoma duaau shajarat rumani(شجرت ارمان) ukimaliza kamba ile utaenda kuifunga katika mti mcbungu na maadui wata fadhaika juu yako hawato endelea kukuandama na uadui wao.

5-#kumfungua mwenye mimba.
kwamtu mjamzito alie fungwa asizae na wakati wake umesha fikia atatafuta kamba ya machilika utafunga tumboni mafundo mawili moja mbele na lingine nyuma kisha atakaa kizingitini utamzunguushia nazi katika viungo vyake utampasua nazi na kuifungua ikifunguka utaifungua na ile kamba huku ukiwa unamnuia kumfungua njia yake ya uzazi na si mda mrefu inshaa allah atajifungua.

mengi yapo kuhusiana na kamba lakini kwa uchache leo kuhusiana na kamba tunaishia hapa kama maswali maoni ama ushauri basi usisite kupiga namba.

+255717108210

ama 

+255685566362

ustadh-  msolo rajabu yusufu.


0 comments:

Post a Comment