#CHUMA ULETE NI NINI?.
:-#Chuma ulete ni aina ya uchawi ambau hutumiwa na mwanga ama mchawi kwa lengo la kupata faida ya pesa kutoka katika mauzo ya watu wengine.
#:- uchawi huu ni maarufu sana karibu kila kona ambapo huwa na shughuli za kibiashara kwani hapo ndipo pesa inapo patikana kirahisi.
+255717108210
Uchawi huu wa chuma ulete umegawanyika sehemu kuu tatu (3)kulingana na nguvu ya mtumiaji.
Kwani ifahamike kwamba mwanga anaweza kuutumia uchawi lakini hawezi kuutengeneza uchawi.
Lakini unapo sikia mtu mchawi tambua kwamba huyu ni mtu anae ujua uchawi na anaweza kuutengeneza uchawi kulingana na kiwango anachokijua na anaweza kuutumia uchawi huo atakao utengeneza.
+255621193048
#AINA ZA #UCHAWI WA #CHUMAULETE.
(1) -#PAKUZI :- aina hii ya chuma ulete ndio aina mbaya zaidi katika aina za chuma ulete aina hii ya chuma ulete mchawi anapo kuja nao katika biashara yako ama eneo linalo fanyika shughuli za kuuza na kununua ama kuuza pekeyake.
Mchawi huyo huja pasi na hela ya kununulia bidhaa yoyote hubeba tu uchawi wake ambao ana uweka chini ya ulimi na kukusemesha unapo mjibu tu basi wewe muuzaji hapohapo hughaibika/kupoteza kumbukumbu zako zote
+255717108210
za kujielewa na kukumbuka unacho kifanya na badala yake mtu hufanya anavyo amrishwa kufanya pasi na mwenyewe kujijua.
Na hapo huwa anakuwa na jini wake wa kichawi pembeni ambaye hufanya kazi mbili.
1):- kukupulizia upepo wa kuku pumbaza.
2):-kupokea vitu vyote vinavyo tolewa na muuzaji.
Huwa ana kuachia athari hiyo kwa muda mbaka pale mda unapo kuwa umepita ndipo haliyako hukaa sawa.
+255717108210
(2)-#MAGNETIC FILLED.
#AINA hii ya pili mchawi huja katika eneo analotaka kufanya wizi wake akiwa na pesa ya kichawi ambayo hukupatia na kubeba bidhaa zake na kuondoka na pesa hiyo inapo changanywa na pesa nyingine ndipo hupungua hela zako na kuhamia kwake baadhi na kiasi kubakia.
(3):-#KIPUKUSA aina hii ya chuma ulete si lazima kutumika masokoni ama sehemu ya kibiashara Bali aina hii mchawi hujifanya kama mnasakimiana na kukupa mkono alio upaka uchawi wake
+2556211093048
na wewe kama unahela utaingiwa na tamaa ya kutumia pesa hiyo hovyo hata kwa kitu cha kijinga na baada ya muda ukijikagua unakuta hamna baadhi ya pesa ama zote kulingana na pesa ulio nayo na kuanza kujihisi kama umepoteza kwa kudondosha.
#DALILI ZA MWENYE KUFANYIWA CHUMAULETE.
1:-#Kufanya buashara na lakini mwishoni ukifanya hesabu hukuta hasara badala ya faida.
2:-#Kuuza bidhaa kidogo lakini huona zimepungua kwa kiasi kikubwa.
+255717108210
3:-#kujihi ghafla umepoteza pesa kabla hata hujaiangalia na uki hakiki unakuta hasara.
4:-#kuzidisha msingi lakini kila siku hupata hasara inayo fanana.
5:-#kusikia usingizi mkali ghala baada ama kabla ya kumuudumia mtu.
#NAMNA YA KUZUIA CHUMA ULETE.
1)Fanya dua mwonzoni kabisaa kabla ya kupanga biashara yako.
Ama kama ulisha chelewa umesha hamia basi fanya dua na kumwaga dawa za kuua uchawi wa kuouliziwa na wala si kumwaga dawa za uchawi wa kufukiwa hapo kuwa makini.
2)weka kinga mahala unapo weka fedha hizo.
+255621193048
3)weka kinga ya katika eneo hilo hapo itategemea na wewe mwenyewe unayo itaka ni king a ya aina gani
(A)-akija aropoke tu.
(B)-ashindwe kuondoka na mzigo.
(C)-apige makelele kama mtu kichaa.
(D))asije kabisaa.
Chuma ulete huwa kuzuilika na wasiweze kuchukua pesa zako na kila kitu kikawa sawa na kila aina INA utengenezaji wake .
Kwa msaada zaidi wa hayo na mengine.
0 comments:
Post a Comment