Saturday, April 30, 2022

#NYOTA YA MAPACHA.

3-#NYOTA YA MAPACHA.

#Nyota hii hutawala siku ya jumaatano huwa na nguvu sana wakati wa mchana.
#Jinsia yake ni yakike Tania ya maumbile yake ni upepo .
 #Wajihi zake ni mushtara ,shemsi na mirihi.

+255685566362


+255717108210

#Nyota hii pia hutawa liwa na watu kwenye majina yanayo anzia na herufi O na C.

                   #Tabia za watu kwenye nyota ya mapacha ni.
1-#Ni watu wenye kupenda starehe.

2-#Ni watu wenye kupenda kupatanisha watu na na kisuluhisha magomvi.

+255685566362

+255717108210

3-#Ni watu wenye kupenda kufanya vitu kwa haraka haraka.

4-#Si watu wa kupenda kutumia Mahali paoja.

5-#Ni watu wa kubadilika badilika kimazungumzo.

+255685566362

+255717108210

#kubwa zaidi kwaom

6-#Ni watu ambao wakati mwingine ni watu ambayo hukosa msimamo.

0 comments:

Post a Comment