Saturday, April 30, 2022

#NYOTA YA NDOA YAKO.

#NYOTA YA NDOA YAKO.

#Watu wengi wamekuwa wakiukiza maswali kwa waganga wengi kwenye mitandao kuhusu nyotaza herufi zao na kutaka kujua kupitia herufi za mwanzo WA majina yao ama tarehe zao za kuliwa.

:-#Watu wamekuwa wakipewa majibu lakini wengine wamejikuta wakiingia katika ndoa lakini bado tafarani wasizo zitarajia na mambo kuharibika yamekuwa yakitokea pasi na kujua ni nini chanzo.

#Watu wengi wamekuwa waki zoea kujua nyota kwa kupitia kwenye mitandao wakizisoma kupitia miezi yao ya kuzaliwa pamoja na tarehe ama wengine kwa kupitia herufi za mwanzo wa majiana yao.
 
+255621193048

+255717108210

Wengi wamekuwa wakiamini hivyo lakini leo cha kuwashangaza nawaambia na huu ndio ukweli na ndio uhakika ya kwamba njia hizo si sahihi wanachuoni na wataalamu wandani zaidi wala njia hizo hawaja zipitisha ufasaha wake na ndio maana ukisoma Vitabu vyote vya kale vya elimu ya kifalakia njia hizo wameikataa kwani haina mashiko yaliyo na uhakika Zaidi.

#NOTE :-Kwanza narudia tena kusema nyota zinazo tumika katika fani hii ya elimu ya kifalakia pamoja na unajimu hazipo kumi na mbili  (12) kama mlivyo karirishwa ambazo ni.

#1-punda   #2-ng'ombe   #3-mapacha  
 #4-kaa   5-#simba  6-#mashuke   
7-#mizani   8-#nge   9-#mshale  
10- #mbuzi   11-#ndoo   12-#samaki/chewa.
 
+255685566362



+255717108210

Hapana narudia tena hapana si kweli bali nyota zenyewe ni saba pekeyake (#7) ambazo ni.

1-#Kamari   2-#utwaridi   3-#zuhura 

4-#shemsi   5-#mirihi   6-#muahtara    7-#zohali.

#NOTE hizo ndio nyota zinazo kuwa na  mzunguuko kupita katika njia hizo 12  ambazo ndio hutupatia hukumu na ufumbuzi wa kuyajua mambo yaliyo fichikana kwa mahusiano na mwanaadamu na dunia kwa ujumla.
 
#ANGALIZO ASIE ELEWA AULIZE NA ANAE TAKA KUBISHA AJE NA DALILI PAMOJA NA KAULI YENYE MASHIKO NA UELEZE UMEITOA KWENYE KITABU GANI   SITAKI KUONGEA KIKASUKU NATAKA KIBINGWA.

TUNAENDELEA.

#Katika kujua nyota ya mtu wanachuoni na wataalamu ambao ni mabingwa WA elimu ya falaki na unajimu wamekubaliana kuzitambua nyota za watu kwa kutumia njia ya hesabu ambazo ni hesabu za
 #ABJEDIA.

+255685566362

+255717108210

Ambazo zimepewa namba kutokana na mizani ya herufi  zikapewa namba kwa vigawanyo viwili ambavyo ni  (a) jimla ya asili. (b) jumla kubwa.

Katika kujua nyota ya mtu hutumika jumla ya kawaida ya asili na katika kujua maswala ya ndoa hapa ndipo hutumika jumla kubwa.

#Njia ya kwanza ni kuchukua hesabu ya jina lamtu pamoja na la mama yake na kugawa kwa kumi na mbili  (12).

Njia ya pili unaweza kuchukua jina moja tu la mtu pasi na lamama yake na kugawa kwa kumi na mbili (12). 
Na namba itakayo bakia ndio itakuwa inawakilisha njiaya ya mtu huyo ambazo huitwa kiarabu #BURUJI  na kwa kingereza hujulikana kama #ORBIT.

+255685566362

+255717108210

#AMBAZO  
1-# PUNDA      2-#NG'OMBE  3-#MAPACHA  4-#KAA  5-#SIMBA  6-#MASHUKE  7-#MIZANI  8-#NGE  9-#MSHALE  10-#MBUZI  11-#NDOO  12-#SAMAKI.
 Hizi ndio kauli na ndio maandishi kuu za maneno ya wataalamu na mabingwa wa kifalakia duniani.

#Katika swala la  ndoa ili mtu aweze kukaa vizuri katika ndoa ni lazima kuchunga vitu vikuu vinne  (4).

(1)#muafikiano wa tabia za njia/mlivyo zoea nyota mbili yaani ya muoaji na yamuolewaji.

(2)#muunganiko wao unaangukia katika iktirani gani?

(3)#MANZIL nzuri yaani hapa panatakiwa kujua mwezi na jua vipo katika manzil(kituo) gani na kipo hapo katika tarehe gani kwani pia katika kila mwezi kuna siku  kumi (10) za nuksi mano wake kila tarehe 13 na 25 haijalishi imeangukia siku gani iwe hata ijumaa ama alhamisi basi sikuhizo ndani yake ni siku ya nuksi hivyo inatakiwa kuangalia manzil nzuri.

(4)kuchunga siku na SAA nzuri ya kufungia ndoa hiyo.

+255685566362

+255717108210

#NOTE ili uwezekujua nani anakufaa katika ndoa ni lazima kuangalia kwa njia hizo na ndio fasaha na yakibingwa na wataalamu wote na mabingwa wa kifalakia hupita njia hizo.
 
Kuangalia kwa njia nyingine yoyote ni uongo na  wake ni ku feil tu hakuna zaidi. 

Maswali luksa ukitaka kubisha uje na hoja yenye mashiko kuongea kikasuku na kimazoea sitaki.

+255685566362

+255717108210

0 comments:

Post a Comment