Friday, April 29, 2022

#JINNI WA JADI NA KIBWENGO.

#mtambue jinni wa jadi na kibwengo.
tunapozungumzia jinni wa jadi tuna maanishi ni jinni anaemtawala mtu lakini asili ya jinni huyu huwa ni jinni ambaye  anakuwa anatokana na familia yake ama ukoo wake.

#majinni hawa huwa wanawatawala watu wa ukoo fulani tu hulisi vizazi na vizazi huwa anamtawala mtu flani mbaka anapofariki mtu yule.

+255717108210

+255685566362

#baada ya siku( 40)arobaini humungia mtu mwingine ama kama hajampenda katika wale waliopo basi huvuka kizazi kimoja na humtafuta mwingine katika kizazi kinacho fuati.majinni hawa ndio wengine huwaita (mzimu).

#kutokana na tabia yao ya kupenda kuanza kuwatokea watu kwa sura za wakongwe wao kama vile bibi babu bibi mzaa mama babu mzaa ba ba na mashangazi.

+255717108210
+255743474714

#lakini majinni hawa hawaji kwa sura ya mjomba kaka yake mama wala mama mdogo dadayake mama wala mdogo wake mama hawaji kabisaa.

#majinni hawa ndio ambao hushikilia mila za watu na hata huwa ni atamaduni wa watu wa kabila flani.

#kutokana na kwamba wao huishi mda mrefu hukaa tangu na mababu na kwakuwa huwa walikuwa wakipewa zawadi na sadaka mbalimbali ambazo zilikuwa ndio kama mikataba yao na wakongwe wetu ambao wao waliwatumia majinni hao kwa shughuli na mambo mbalimbali katika zama hizo haswa kwenye mambo ya kivita.

+255717108210
+255685566362

#waliwatumia majinni hawa kwa kujilinda na kuwa na nguvu kwa maadui zao.

#hivyo baada yakuwa na mikataba na makongwe wetu mikataba ile bada inabaki kuwa kwetu tulio salia na ndio maana basi endapo mkongwe atafariki kukawa hakuna tena mtu wa kuwapa zile sadaka zao basi hulazimika kumchagua mtu watakae mpenda kwa ajili ya kuwapa ada zao na kuendelea kufanya kazi katika ukoo ule.majinni hawa huwa ngumu mno kutoka kuliko majinni woote dunia wanapoingia ndani ya kiwiliwili chamtu kwani mtu yule wanamjua vizuri na kila kitu chake ndio maana hufikia hat mda mwingine humroga mtu wao mwenyewe wanapoona anawasumbua ama kukaidi matakwa yao na mtu huzunguuuka kwa waganga na kufanya kila dawa na visomo pasi na mafanikio lakini utakapo wakubari tu basi hukutibu mara moja kwani hujua uchawi wao walipo uweka hivyo ni rahisi kwao kukuopoa.

+255717108210
+255621193048

#ama kibwengo hawa huwa ni majinni ambao makazi yao sana ni baharini na msituni wapo vibwengo vya aina mbili.

(a)#vibwengo vya kuzurura tu ambavyo havina madhara sana kwa mtu kwani hivi havina kawaida ya kuingia katika mwili wa binaadamu ila ukikutana navyo hupenda kukuchezusha kukutisha na mwishoe hukutia tu homa kutokana na upepowao ambao unaweza kuku sababishia madhara ya nuksi.

+255717108210
+255685566362

(b)#vibwengo vya kufugwa hivi ni vijinni ambavyo watu wachawi huvifuga kwa kuvituma kufanya kazi mbalimbali ikiwemo

1-# kufanya chumaulete.

2-#kuliza watoto wadogo usiku na kuwa sababishia degedege.

3-#kuibia mazao ya watu na kuhamisha katika mashamba mengine kimazingara.

4-#kutumwa pia kuwapa watu maradhi ya kumwa na kizunguzungu.

5-#kuuwaumiza watu miguu kwa kuwapa maradhi ya kupasua miguu na kuwaka moto.

+255717108210

+255685566362

6-#kuwapa maradhi ya matumbo kuwa mazito na kuwa kama mtu anagesi nyingi.

#aina hii mtu huwapata na kuwamiliki kwa kuchukua aina za miti ikiwemo haijali,faijali,mgagagi na mfune(mgoto) huvi funga pamoja vijiti vidoogo sana na kuvimeza huku nyumbani ana andaa chumba maalumu kwa kuweka chungu kipya na jogoo mweusi chini ya kitanda na kimtungi cha unga chumba hicho hakiwi na kitu kingine chochote kisha kwenda kuvinya porini jioni kiza kinapo anza kutanda kisha anaondok bila kugeuka nyuma atasikia vinamcheka anaondoka mojakwamoja anapofika ndani ya kile chumba ana wakuta kamavijitu vifupii anavimwagia unga na kuanza kuvituma kazi anazo zihitaji.

+255717108210

+255685566362

#majinni hawa wa jadi hufanana sana na majinni wa kichawi tabia zao kama mtu atakuwa hajawajua.

#kwani kwa  aina ya maradhi wanayo tumia kumtesa mtu ambae anawakata hataki kufanya vitu vyao dalili zake hufanana kabisaa kwa asilimi 100% na mtu mwenye maradhi ya jinni wa kichawi.

+255717108210

+255685566362

mfano wa maradhi yao ni kama vile.
a-#kutoka mapunye yasio sikia dawa.

b-#maradhi ya ngozi kukakamaa.

c-#kizunguzungu cha mara kwa mara kisicho isha ambacho hupelekea hata mtu kuzimia na ilhali hana tatizo lolote la kihospitali.

d-#kujaa tumbo na kuwa gumu ama kujihisi kitu cha baridi kinatembea kwa ndani.

e-#miguu kuwaka moto kuanzia magotoni hadi kwenye kucha.

+255717108210
+255743474714

f-#kuhisi harufu ya damu kila mara nahata hakuna damu.
g-kuota sana ndoto za kutisha msituni na wala si baharini wala maeneo ya mjini.

h-#kupata ukungu katika macho kama mtu mwenye kisukari ilhali sukari ilo kawaida.
i-#kuharibika mimba haswa inapo fikia miezi minne.

j-#kulala sana mchana haswaa kuanzia saa sita na robo ama na nusu hadi saa nane kasoro mchana.

+255717108210

+255685566362

hizi ndio tofauti yao nikweli majinni wanafanana lakini kwa wajuzu huwajua kwajinsi ya tabia zao zinavyo tofautiana kwani majinni hufanana tabia za ndani nanje hivyo hupelekea baadhi ya watu kuwachanganya kupelekea ngonjwa kupewa dawa ya jinni asie husika hivyo mgonjwa hubaki na maradhi  pale pale ni vizuri kwanza kumchunguza aina ya jinni kisha kujua sumu yake na aina ya uchawi anao utumia ndipo utoe dawa.

kwa maoni na ushauri.

              +255717108210

               +255685566362

0 comments:

Post a Comment