6-#NYOTA YA MASHUKE.
#Ni nyota inayo tawala siku ya jumaa tano jinsia yake ni yakike tabia ya maumbile yake ni udongo siku yake mbaya ni JUMAA pili.
+255685566362
+255717108210
#Nyota hii pia hutawaliwa na watu wenye majina yanayo anzia na herufi za F na R.
#Tabia za watu wa nyota hii ni .
1-#Ni watu wa kupenda kushukuru kwa kila jambo nzuri wanalo tendewa bila kujali na kubwa ama dogo kwa kiasi gani ni kawaida kwao kusema neno "Ahsante"
+255685566362
+255717108210
2-#Ni watu wanao penda kuwafariji watu wapatwapo na matatizo mbalimbali.
3-#Ni watu wanao weza kufanya kazi za ushauri.
4-#Huweza kumshauri MTU katika mazingira magumu na kueleweka.
5-#Ni watu wakarim.
6-#Ni watu wanao penda kucheka.
7-#Kwa muonekano ni watu wenye mambo mazuri na sauti ya upole yenyewe kuvutia kwa MTU kuisikiliza.
Na huweza kumbebeleza mtu kwa sauti yake tu.
+255685566362
+255717108210
0 comments:
Post a Comment