Saturday, April 30, 2022

#NYOTA ZENYE NGUVU.

Zifahamu nyota zenye nguvu.

#Binaadamu tumeumbiwa vitu mbali mbali hapa ulimwwnguni ambavyo vinatusaidia kundeshea maisha katika sayari hii ya dunia.

#Vipo vitu ambavyo tunakazi navyo moja kwa moja yaani vitu am avyo kila mmoja anapozaliwa anajua umuhimu wa kitu fulani kuwa ni nini.
-#Mfano : maji kilamtu anatambua umuhimu na kazi za maji hata waswahili husema msemo wao "mimi ni kama maji usipo nioga utaninywa."hii yote ni kuonyesha kwamba haji ni kitumuhimu kwa binaadamu.

+255685566362


+255717108210

#Mungu ametuumba watu wote kiasili tunatokana na baba mmoja ambae ni aadamu na mama yetu ambaye ni hawaa.

#Lakini baada ya kuzaliana tukawa wengi basi pia mungu akatujaalia utambuzi wa vitu mbalimbali kila mtu kujua kitu maalumu na elimu maalumu ingawaje wapo ambao huwa na uwezo mdogo katika kuelewa mambo yanayo yuzunguuka na wapo ambao wana upeo mpana nasa.(watu wenye vipaji).

#Watu tulivyo umbwa pia tuna tofautiana tabia na hulka za vitu tofauti na uimara wa baadhi ya watu na utendaji wao kazi zako katika mambo mbalimbali.

#Hii yote hutokana na mgawanyiko wa nyota zinazo tutawala wanaadamu ndio hupelekea watu kutofautiana tabia na uwezo wa kufanya mambo na maamuzi ya mambo tofauti tofauti.

#Nyota hizi zinazo tuta wala wanaadamu zipo ambazo (1)zinanguvu(imara)(2) zenye uwezo wa kati(za kawaida uwezo wa kati na kati.(3)zenye uwezo  mdogo (dhaifu).
Miongoni mwa nyota zenye nguvu ni zile ambazo huanzia na herufi d, j,z,w,y,a,t,b,h,o,q,

Nyota za kati ni zinazo anzia na herufi,k,L,n,s,f,m,i,p,

Nyita zilizo zaifu ni zile zinazo anzia na herufi, R,z,x,c,u,e,g,v.Watu wenye nyota zenye nguvu watu hawa ni wale ambao huweza kujisimamia katika mambo yao iikamilifu,si waoga ,juwa na uwezo wa kujieleza,niwepesi kuifadhi kumbukumbu na kuelewa kitu mapema, huweza kusimamia biashara zao wenyewe na hata kuajiliwa pia bado huwea kufanya kazi bila shaka yotote, hupenda kujiona hata wao wenyewe,na wanauwezo wa kuanzisha kitu ama biashara  na ikawa yenye kuwndelea.
Watu wenye uwezo wa kati watu hawa ni qatu ambao wana uelewa wa kawaida, wanapo taka kufanya jambo mbaka wapate msukumo ama ushawishi kutoka kwa mtu mwingine, hawezi kusimamia jambo lake moja kwa moja isipo kuwa litakuwa na kukwamakwama, ni  waoga kidogo kufanya maamuzi ya upesi,wanapo ajiliwa hufanya kazi kwa uwezo mkubwa kuliko zakwao wenyewe, hawapendi sana masihara na watu, niwatu ambao huridhika na vile wanavyo vipata, ni wenye mipango mingi sana lakini ufanikishaji ni hafifu.

+255717108210
+255685566362

#Watu wenye nyota dhaifu hawa ni wale ambao nyota zao wazina uwezo wa kujitegemea isipo kuwa pawe na nyota saidizi ya kuiinua na kufanya kazi,maranyingi watu hawa huwa wavivu kufanya kazi,huchelewa kuamka kwa kupenda kulala,hanatamani kupata kitu na wakipata hupuuzia mara moja, ni watu ambao hawawezi kusimamia mambo yao wwnyewe,ni watu ambao hata wakiajiliwa bado wapate usimamizi,hawajiamini,huwa ni wakimya mno.hawaoendi makelele kwani hata kuongea kwao ni taratibu sana,

#Hivyo basi kwa watu ambao wana ewezo wa kati wanakltakiwa kuinua nyota zao na kuzifanya kuwa madhubuti kwa kufanya hivyo huweza na mambo kuwa sawa, nakwa wale wenye nyota dhaifu inabidi zijazwe na kuzipa msaada ili mambo yaweze kwenda sawa,

+255717108210

+255685566362.

0 comments:

Post a Comment